tusaidiwe

mapengo junior

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,137
275
Tsd temeke wanasumbua,hawataki kutoa barua za uthibitisho wa ajira kwa baadhi ya walimu sasa ni miezi saba..walimu wamejaza fomu za ajira tayari kila wakienda kufatilia hizo barua za ajira wanaambiwa kesho kesho.hivyo wanafanya kazi bila barua za ajira je ni haki???mwenye uwezo wa kusaidia hili tunaomba msaada na wahusika wizara ya utumishi nendeni Tsd temeke mkaone madudu..ahsante..
 
Back
Top Bottom