Tusaidiane...!!

mabata madogo dogo yanaogeleeeeeeeeeeeeeeea yanaogeleaaaaaaaaa kwenye shamba zuri la bustaniiiiiiiiiii...........:plane:

Hesabu ni nzuri sana weeeeeeeeeX 3
Mwalimu ni fundishee, nipate kuelewa,,,,

sasa sasa ni saa ya kwenda jkwetu,,,,,
 
wory nt
he sound 18-22 yrs

age ts nathn but# kwan wanaotoka nje ya ndoa wapo btn 18-22, amka rose...! Muwe mnatoa views sio mnakosoa mada! Kwan ukitoa unachokijua then ukaenda katka thread ingne kuna shda gan?
 
kwa nini usiulize ni wanaume wa kabila gani wanaoongoza kwa cheating? mbona lawama kila siku ni kwa wanawake tu wakati ninyi ndio wakwanza kuwafata? kama sio ninyi wangejifanya wenyewe? tuwe na mada za maana sio mada za chuki na kudhalilisha jinsia.
Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na jinsia zote kulingana na matakwa yao.
Ni wanawake wa makabila gani wanaongoza kwa kutoa penzi nje ya ndoa?
 
Back
Top Bottom