Tusaidiane kwenye CV na barua za kuomba kazi

Sipo Ndugu nakushauri sana utumie format ya Europas CV. Hawa jamaa wana online form ambazo zinakugaid katika uandaaji wa CV yako.
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh...labda wameanza siku hizi ila mimi sikumbuki kufundishwa jinsi ya kuandika resume nilipokuwa sekondari. Kuhusu barua, nakumbuka tulikuwa tunafundishwa jinsi ya kuandika barua mbalimbali lakini sidhani kama walikuwa wanaenda kiundani zaidi. Ilikuwa ni sort of the ABCs of letter writing.

Pia sijui kama chuo kikuu wanafundisha lakini ingekuwa vizuri kama wangefundisha jinsi ya kuandika hivi vitu kwenye capstone classes...


Somo hili ni la muda mrefu sana.
Tulifundishwa hata namna ya kuandika barua za kirafiki, kikazi na kibiashara, pamoja na protocol za barua hizo (u.f.s...fulani) n.k. Ishu hapa ni usahaulifu wa tulio wengi!
 
Somo hili ni la muda mrefu sana.
Tulifundishwa hata namna ya kuandika barua za kirafiki, kikazi na kibiashara, pamoja na protocol za barua hizo (u.f.s...fulani) n.k. Ishu hapa ni usahaulifu wa tulio wengi!
Mhe hii inategemea sana wewe ulisoma wapi. Binafsi sikatai kuwa hili somo halikufundishwa ila hata wafundishaji wenyewe walikuwa uncapable kufanya hivyo ila baada ya kuibuka shule za binafsi at least some have benefited but not the all
 
sinyolita;

your contribution make a lot of sense to CV writers
 
Last edited by a moderator:
wanafundisha kaka,lakini mwalimu wako kasoma 19 kweusi,kitabu kimeandikwa enzi za mawe....format hiyo itakusaidia nini mwaka huu 2010?
jamani mnaojua mambo mapya mtu up to date basi.......plz
 
jamani mnaojua mambo mapya mtu up to date basi.......plz
Yah!! Unajua haya mambo yanabadilika mara kwa mara na kila mtu anapata kwa wakati tofauti kwahiyo ni vizuri updates zikawepo mara kwa mara. Kupeana information ni jambo la muhimu sana maishani
 
Ignore:

Kabila
Date of birth
Religion
Place of birth

Hawaviitaji wakati wana shortlist. They need a professional sio professional aliezaliwa Machame, mu kristo, mchagga etc. Mfano tu jamani.

The after personal details, let the following follow:

- accomplishments
- job experience (startin wit the current/recent). Title, from when to when, company, duties
- professional qualitfication (startin wit the current/recent). qualification, from when to when, course of study and name of institution
- academic qualification (ila not so important kama wewe una experience yakutosha
- skills
- affiliations (kama mimi ni member wa American marketing association)
- hobbies
- refereee (3)

Barua ya kazi:

Kumbuka this will sell you way before they see yo CV na wewe mwenyewe. Explain how thwe qualification adversitised/au wanataka matches with your qualifications. Mfano,
In the advertisement you mention that you need xxyy, I have been doing xxyy whiule working for zzzz company for sss years and i have a track record of success as i managed to xxxx.

Una swali?
 
Kuna swali nimeulizwa hapa na mdau mmoja, je kuna ubaya CV yake ikawa na kurasa 12. Nimesema kabla sijamjibu tushirikiane hili kama kuna mtu ana idea na hili suala la faida na hasara ya kuwa na CV yenye kurasa nyingi
 
Kwa nini hatusisitizi watu kufundishwa jinsi ya kujiajiri kuliko kufundishwa barua za kuomba kazi!!!!!!Nafikiri kufundishwa kujiajiri ni bora zaidi ya kufundishwa kuandika barua za kuomba kazi. Tubadilike!!!!

Tiba


Kweli Tiba
Tufundishwe jinsi ya kujiajiri itasaidia sana kupunguza unemployment, kwanza serikali yetu haina uwezo wa kutuajiri wote tunaomaliza vyuo vikuu kila mwaka.
 
Kweli Tiba
Tufundishwe jinsi ya kujiajiri itasaidia sana kupunguza unemployment, kwanza serikali yetu haina uwezo wa kutuajiri wote tunaomaliza vyuo vikuu kila mwaka.
Ni wazo zuri sana Tiba na Mom, nafikiri ni wakati sasa wa kuwa na thread kama hiyo ili tuweze kupata mawazo mbalimbali ya jinsi ya kujiajiri. Nafikiria kufungua thread kama hiyo muda si mrefu na ndio itakuwa thread yangu ya kwanza kwa mwaka kuituma hapa jamvini
 
Ila ningeomba pamoja na kuanzisha thread nyingine ya jinsi ya kujiajiri hii hapa ya jinsi ya kuandika barua na CV nzuri iendelee manake lazima kuna watu wataendelea kutaka kuajiriwa maisha yao yote au kwa kuanzia ili kupata mtaji na kuendeshea maisha yao na jamii kwa ujumla
 
Nop! modern Cv unaanza na your last level of education and not vidudu. What the employer will be interested with your vidudu education? I think that was the old type of resume'.
 
Hapo nakuunga mkono kwani watu tumeshazoea kukimbilia posta asubuhi hadi jioni kwa ajili ya kuomba kazi. People are interested much on offices zenye AC na viti vya kuzunguka tu. Lazima tubadilike na tuwe wajasiriamali.
 
Ile haitoshi, kwani wanaofundishwa ni wale waliokosa elimu, but kumbuka hata universities wanatakiwa kufundishwa, kwani wanayofundishwa kule is too theoretical.
 
Kipengele cha historia ya kazi ambazo umeshafanya ni cha muhimu sana kwahiyo fanya juu chini ili uweze kukiwekea msisitizo. Hiki ndio kipengele cha kukuuza kwa waajiri wanaotaka mfanyakazi wa mafanikio
 
Njia za kutafuta kazi kwa wale wanaopenda kuajiriwa
1. Kazi zinazotangazwa kwenye vyombo vya habari
2. Kwenda kwa maajenti wanahousika na kusaka ajira
3. Kutembelea mitandao, phone books (directories), anuani za makampuni
4. Kuwa na mtandao na watu walioko kwenye makampuni na idara mbalimbali

NB: Kama kuna mtu anajua njia nyingine za kutafuta kazi tafadhali utuongezee hapa itatusaidia wote kama jamii
 
Ni hakika kwamba huu si wakati wa kufundishana kuandika CV Lakini ni lazima pia tujue kuna wahitaji wengine wasojua hata hiyo CV Ikoje au hata yaandikwaje,tujitahidi kupeana ujuzi vile tuwezavyo na hata tukisema ujasiriamali au nini lakini lazima tujue kwamba uwezo wa kujua vitu mbalimbali nao ni ujasiriamali mmojawapo, ifike wakati watu waweke michanganuo ya biashara au mipango yao japo tuione na ikiwezekana tupeane mitaji, sio kutoa maoni au kupinga yasifanyike mambo fulani bila suluhisho la msingi. Tujuzane kwa haki ili tufikie lengo ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom