Tusaidiane katika hili

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Naomba msaada wa kusaidiwa kueleweshwa ni jinsi gani naweza kuusajiri umoja/chama cha wakazi wa eneo furani.Umoja huu unahusika na shughuli za kimaendeleo ya kiuchumi na kusaidiana katika shida na raha.

Nimeomba hivyo mapema kwa sababu tulitaka kufungua account ya umoja huo wakakataa kutufungulia kwa jina la umoja ila wakasema tufungue kwa majina ya watu.Ili tufungue kwa jina la umoja ni mpaka tusajiriwe.
Msaada tafadhari......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom