Tusaidiane jamani

Jamani tusaidiane kaatika hili.Nimeikuta kwenye web ya wanazuoni wa huko nje.Ni kweli hivi ndivyo tulivyo kwa kila hali????

Chungulia humu (iadaiwa kuwa kinachooonekana ni Videokino/jumba la kuoneshea cinema)
Institut für Ethnologie und Afrika-Studien

Hawa jamaa wanatudharau sana. Wakija huku wanapiga picha sehemu za ajabu halafu wanapeleka kwao. Dar es salaam sehemu gani iko hivyo, mbona hakuna hata alama ya stima?. hii lazima tuipigie kelele kimataifa ama sheria kali za upigwaji picha za maeneo ziwekwe kama kwa wenzetu Iran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom