Tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu

Think

Member
Jul 27, 2012
71
1
huduma zetu na wawekezaji zinaendana na ubora na thamani tunayopewa ktk miradi ya maendeleo au kujuana kwingi halafu kazi haziendi?

tusaidiane ili kuiokoa serikali dahifu kwa maoni iwe kwa wazawa au wageni,

KAMA UNAONA WAWEKEZAJI KUTOKA NJE NI BORA ZAIDI YETU ni heri kuwajulisha akina magufuli wajue au kama wazawa ni bora kuliko wageni basi hakuna haja ya kuwaleta WAGENI ktk miradi ya maendeleo.

JE UDHAIFU WA SERIKALI UPI......?
 
Vigogo wa Tanzania wameiba hela wakazificha ulaya ili wafaidi wazungu. Mitaji hatuna ndio mana tunaita wawekezaji wageni waje kuwekeza wakati Watanzania wenye hela (japo za wizi ndio mana wanazificha huko ulaya) wameshindwa kuwekeza hapa kwetu. Nchi hii kuna watu hawana huruma aisee, naona wanataka tufe kwa umasikini kabisa ndio watafurahi
 
Tatizo viongozi wetu wa kisiasa wanaabudu mno wawekezaji toka nje na kuona wazawa hawana maana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom