Tusaidiane hili bango...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
shule.jpg

Shule hii inaweza kuwa inafundisha mambo gani?!
 
Shule ikiandikwa jina "MAHARAGWE" haina maana kwamba wukiena pale unalishwa maharagwe tu. Majina mangapi hatujui maana yake lakini bado hatujiulizi maswali hayo? Mbona tunacheza ndombolo ya solo wakati hatujui wanasema nini?
 
Back
Top Bottom