Tusaidiane hapa....

imeshakuwa kiwingu hapo.....njoo hapa samaki samaki tuanzie safari hapo....ili wanga wajifehemu

hapo matozi wengi....na vile vishankupe vya mlimani vinazengea sana kama vipi kigamboniiiiiii....
 
dnuganda5.jpg

36324626.nairobi154.JPG




 
Ni sahihi kwa kiswahili cha wakenya, wazaire, warundi, na wazungu.
Si sahihi kwa kiswahili chetu.

Inawezekana pia kuwa ni muhindi aliyeandika hivyo!


muhindi husema pia watu yangu, akimaanisha viatu vyangu

toto yetu kwisha safiri. uchumi yetu nakua haraka , sasa inapaa kama dege! juu juu kabisa, iko hewani.
 
There are currently 4 users browsing this thread. (2 members and 2 guests)
  • Mokoyo
  • huyu member wa pili lazima atakuwa Preta
 
sasa tukubaliane.....nani anaanza.....kwa sababu wote nyie nawamudu....mjipange wenyewe

Nilikuwepo Topic hii ilipoanzishwa.... alafu nikaondoka...... sijui na mimi nipo kwenye hii hesabu.... au imenipita kando
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom