Turejee kwenye mambo ya ndoa: Mapenzi Vs Maslahi wakati wa kuchagua mwenzi!

Nimefurahi kuona na maoni yako Dada Mkuu Kongosho na samahani kwa kuchelewa kukujibu...mambo ya kujifunza kucheza na mchina si mchezo...Majirani zangu wanasema kuwa ni "mashokholo mageni"!!!

Haya mambo ni magumu sana ndio maana mtu anayeingia ndoa anakuwa kwa namna moja kama vile kacheza kamari!!

Hivi huyo mjukuu anayeitwa MwanajamiiOne yuko wapi?????

We really miss her....

Babu DC!!
Dah Kongosho na Babu DC hili somo nimejifunza with bitterness aisee. Lakini kusema ukweli NIMEJIFUNZA ingawa mpaka sasa imekuwa ni ngumu kumeza.

Hata hivyo ninakubaliana na wote mnaounga mkono mada hii ya Babu kwa sababu nimegundua katika maisha ya ulimwengu huu ukitaka kuishi kilimwengu basi kuwa mlimwengu, usitegemee kuwa mwanadini safi huku wataka kuishi kidunia utaumbuka. Unawezakuwa waamini katika ...Love conquers all lakini unapopreachia hiyo slogani yako ni wrong place hapo unapotea.

Kwa Babu, RR na wengineo ninawapa salute kwa sababu mapenzi mnayoyaongelea hapa ni yale ambayo tunasema ni advanced, yale ambayo wayavaayo wako matured enough kutokana na experiences zao na ukomavu wao katika mapenzi. lakini kwa wale wachanga (ambao wengi wetu ndio huwa tunatumbukia tukiwa katika tender age) ambao wanapenda kweli somo hili litakuwa gumu aisee. Kwao hawa bado slogan ya Love conqures all bado inaaminika kama msingi wa penzi la kweli na ndio maana tunakutana na cases za wanaokunywa sumu, wanaojitia vitanzi n.k simply because wamekatazwa kuoa/olewa na wenzi wa dini tofauti au class tofauti.

Ngoja ninywe maji Babu DC. naja
 
Last edited by a moderator:
hii mada itanifanya nimuache babie wangu coz hana kazi wala na hapend hata kusoma yeye umwambie kuvumbua style za Kitandan ndo mwenyewe

Hahahahahaha,

Wakati anavumbua style za malavi davi wewe Speedy unafanya nini??

Mapenzi ya ndoa ni kutoa na kupokea...Kama vile ambavyo wewe huwezi kuwa donor wa kumpa mahitaji yake yote ya kifedha....hata yeye lazima atachoka kutoa dozi ya penzi bila hata kupewa surprise ya siku moja!!

Ila kama umeweza kuliona hili, basi uko katika mstari ulio sahihi katika jitihada za kumpata mwenzi ambaye mnaweza kuwa pamoja kwa muda mrefu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dah Kongosho na Babu DC hili somo nimejifunza with bitterness aisee. Lakini kusema ukweli NIMEJIFUNZA ingawa mpaka sasa imekuwa ni ngumu kumeza.

Hata hivyo ninakubaliana na wote mnaounga mkono mada hii ya Babu kwa sababu nimegundua katika maisha ya ulimwengu huu ukitaka kuishi kilimwengu basi kuwa mlimwengu, usitegemee kuwa mwanadini safi huku wataka kuishi kidunia utaumbuka. Unawezakuwa waamini katika ...Love conquers all lakini unapopreachia hiyo slogani yako ni wrong place hapo unapotea.

Kwa Babu, RR na wengineo ninawapa salute kwa sababu mapenzi mnayoyaongelea hapa ni yale ambayo tunasema ni advanced, yale ambayo wayavaayo wako matured enough kutokana na experiences zao na ukomavu wao katika mapenzi. lakini kwa wale wachanga (ambao wengi wetu ndio huwa tunatumbukia tukiwa katika tender age) ambao wanapenda kweli somo hili litakuwa gumu aisee. Kwao hawa bado slogan ya Love conqures all bado inaaminika kama msingi wa penzi la kweli na ndio maana tunakutana na cases za wanaokunywa sumu, wanaojitia vitanzi n.k simply because wamekatazwa kuoa/olewa na wenzi wa dini tofauti au class tofauti.

Ngoja ninywe maji Babu DC. naja

Kukuona hapa jukwaani MwanajamiiOne ni raha tosha,

Halafu sasa ndo tulikuwa tunaanza kufaidi mapoint yako....Please rudi tena utupe maoni yako, kama kweli maslahi tunayoongelea hapa unayaelewa vizuri na yana-make sense kwako!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kukuona hapa jukwaani MwanajamiiOne ni raha tosha,

Halafu sasa ndo tulikuwa tunaanza kufaidi mapoint yako....Please rudi tena utupe maoni yako, kama kweli maslahi tunayoongelea hapa unayaelewa vizuri na yana-make sense kwako!!

Babu DC!!

Babu DC maslahi yanayoongelewa hapa yanamake sense wala sikatai kabisa na kwa taarifa tu Babu ni kuwa hii thinking uloileta hapa its a new perspective ambayo inatakiwa kuwa inculculated kwenye vichwa vyetu na vya vizazi vetu vijavyo kwa sababu ile perspective ya zamani ya mapenzi ya kweli kwa wote imekwishapitwa na wakati kutokana na new challenges za kidunia ambazo bahati mbaya tunafikiri kuwa hazijaathiri mfumo mzima wa mapenzi na mahusiano, tunasahau kuwa mapenzi na mahusiano ni sehemu ya dunia na mabadiliko yoyote yake yanayoiathiri dunia yataathiri hata mapenzi na mahusiano.

mfano mdogo: Mabadiliko ya hali ya hewa (Climatic Changes) yanaathiri dunia but also mahusiano na mapenzi yetu, kama mie nlizoea kuvaa kiheshma na mpenzi wangu anapendezwa nami kwa mavazi hayo, hali ya hewa ya leo yananifanya MJ1 mie wa leo niamue kuziexpose hivi fito na vipaja vyangu hadharani kwa kisingizio cha kupata hewa si tayari baba chanja atakuja juu?
 
Ahsante sana swahiba wangu,

Honestly, mie niko kundi la kwanza au sipo kabisa kwenye mafungu yako!

Mbona unapotea hivyo?

....kaka, nipo bana. Mada nzito nzito kama hizi ndio pekee zinazoweza nirudisha kundini....otherwise, all is gud bro. Mw'mungu ni mwema.
 
Ahsante sana swahiba na mkuu wangu Mbu,

Naona siku zinakaribia...usitusahau basi kwenye mambo yetu yale ya kujichana....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ahsante sana swahiba na mkuu wangu Mbu,

Naona siku zinakaribia...usitusahau basi kwenye mambo yetu yale ya kujichana....!!

Babu DC!!

....hahaha...you are warmly welcomed bro :thumbup:
 
Last edited by a moderator:
Babu DC maslahi yanayoongelewa hapa yanamake sense wala sikatai kabisa na kwa taarifa tu Babu ni kuwa hii thinking uloileta hapa its a new perspective ambayo inatakiwa kuwa inculculated kwenye vichwa vyetu na vya vizazi vetu vijavyo kwa sababu ile perspective ya zamani ya mapenzi ya kweli kwa wote imekwishapitwa na wakati kutokana na new challenges za kidunia ambazo bahati mbaya tunafikiri kuwa hazijaathiri mfumo mzima wa mapenzi na mahusiano, tunasahau kuwa mapenzi na mahusiano ni sehemu ya dunia na mabadiliko yoyote yake yanayoiathiri dunia yataathiri hata mapenzi na mahusiano.

mfano mdogo: Mabadiliko ya hali ya hewa (Climatic Changes) yanaathiri dunia but also mahusiano na mapenzi yetu, kama mie nlizoea kuvaa kiheshma na mpenzi wangu anapendezwa nami kwa mavazi hayo, hali ya hewa ya leo yananifanya MJ1 mie wa leo niamue kuziexpose hivi fito na vipaja vyangu hadharani kwa kisingizio cha kupata hewa si tayari baba chanja atakuja juu?

Hahahahahahahhahaha.....Sasa wewe ndo umeonesha ukali wako wa kusoma katikati ya mistari!!!

Hata hivyo, naomba nikuhakikishie kuwa kama huyo mdau wako alimwona MwanajamiiOne toka day zero na kuzikubali hizo fito zake kwamba zinakidhi vigezo vya maslahi yake basi hatakuwa disappointed!!

Babu DC!!
 
Babu DC,leo natofautiana na wewe pia natofautiana na MJ1,ninavyojua mimi from day zero,sheria za maumbile hazijabadilika.Yaani kila kiumbe hapa duniani ili kiishi na kupata furaha(sio raha) pia upendo(siyo mapenzi) ni lazima kifuate sheria hizo.Maslahi uliyosema ya hapo juu yana umuhimu lakini mdogo sana,wala hayo hayaamui mustakabali wa mahusiano.Kwenye ndoa kunahitajika mapenzi,furaha na upendo hivi ni vitu tofauti kabisa,lakini kikuu ni upendo.Ukikosekana upendo uhusiano lazima ufe kama ukiendelea basi kutakua na kulazimishana na kuishi kimazoea,hii ni kanuni ya maumbile.Utanashati,elimu,fedha na vitu vyote vya nje havijawahi kumsaidia mwanadamu hata siku moja na ni mambo ya muda mfupi.Pia mazingira ya nje hayawezi kuzibadili kanuni za maumbile,kanuni zipo vilevile tangu Adam hadi leo,namna Adad,Nuhu,Musa,Daudi,Petro,Lincoln walivyoipata furaha ya maisha ni ya namna ileile haijabadilika.Ili tupate furaha ya kweli lazima tufuate kanuni za maumbile,kila kitu kina kanuni zake!
 
Ahsante sana mkuu Eiyer...na naomba nikiri kwamba kwa kuwa umeenda mbali sana kuongelea UPENDO badala ya wadau wengi wanaoongelea MAPENZI....basi umekuwa na mie kwenye huo uwanja....

Sasa ni vigezo gani vinafanya upendo wa mume kwa mke uwe tofauti na wa kaka, dada, mama na ndugu mwingine yeyote, naona hapo labda ndipo tunapotofautiana. Kwani kama kusingekuwa na tofauti, nahisi kusingekuwa na haja ya watu wazima, tena wenye background tofauti na mambo mengi wanayopishana kuingia kwenye mahusiano ya ndoa.

Hata hivyo, naomba usome huu uzi wa leo kutoka kwa member mwenzetu ili uone kwamba upendo wa kimapenzi unahitaji vigezo mtambuka ambavyo, ni vigumu sana kuviainisha kwani vinategemea vionjo vya wahusika!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City,ili ndoa idumu mpaka kifo kiwatenganishe inahitaji vitu viwili,Upendo na Mapenzi.Lakini kati ya hivyo viwili kikuu ni Upendo.Uhusiano wa kaka na dada,mama na mwana au urafiki una upendo lakini hauna mapenzi.Mapenzi ni yale wanayofanya wanaohusiana kimwili,kama vile,kwenda beach,kubusiana mdomoni,kufanya ngono n.k.Upendo wenyewe upo tangu ilipowekwa misingi ya dunia,na upendo maana yake ni kumkubali mtu yoyote bila masharti,hii huwa ngumu kueleweka kidogo.Kumkubali mtu bila masharti kuna maana ya kumchukulia yoyote sawa kwa kigezo au kipimo cha ubinadamu tu.Yaani kwako rafiki yako,ndugu yako ni yule ambae ni binadamu tu na sio lazima awe mwanamke au mwanaume,mwenye pesa,mrefu,mweupe n.k,kwako hawa wote ni sawa na wanaunganishwa na ubinadamu na sio vitu vya nje.Huo ndio upendo.Sasa utaona kuwa ukisha kuwa na Upendo inakuwa ni rahisi kupata mpenzi/mke/mume kwa sababu kwanza mtakua mmeunganishwa na Upendo na hautakua na masharti mengi utakapokua unataka mwenza,kwako kazi,rangi,elimu n.k havitakuwa na maana kwani hautakuwa unamtazama mtu kupitia elimu,sura,umbo,kazi,wewe utauona ubinadamu tu,kigezo au sharti litakua moja tu,kama wewe ni mwanaume utataka sharti lako unaemhitaji awe mwanamke TU,ndo maana baba yangu aliekua na elimu ya chuo alimuoa mama aliekua hajasoma hata darasa moja na ndoa yao ilidumu kwa miaka 30,kilichowaunganisha ni upendo kisha kikaongezeka mapenzi.Kwahiyo kwenye Upendo kinaongezeka ni Mapenzi na kuyabadili mahusiano kutoka kaka na dada,mfanyakazi mwenzangu,jirani na kuwa mke au mume!
 
Ahsante sana mkuu. Umeeleza vizuri sana ingredients za upendo. Naomba pia utupe zile za mapenzi.
 
Za mapenzi zinataka kufanana na za Upendo lakini wapenzi lazima wafanye ngono,kubusiana mdomoni na hata hug za wapenzi ni tofauti na nyingine.Ndo maana kufanya ngono husemwa kufanya mapenzi kwa sababu hicho kitendo hufanywa na wapenzi tu.So Unapompenda mtu(kama nilivyoelez) mtakwenda wote disco,beach,mtakopeshana/peana pesa,hamtatoleana maneno machafu,hamtaibiana n.k haya yote hufanyiana wanaopendana(sio wapenzi).Ila mkitaka muwe wapenzi kuna mambo machache mtaongeza hapo nayo ni ngono,kubusiana mdomoni na yale ya kufanana na hayo.Ila ukishaujua Upendo, mapenzi hayawezi kukusumbua kwa sababu Upendo uko juu ya mapenzi na yanayofanyika kwenye upendo ndo yanaendelea mapenzini isipokua mambo madogo yanaongezeka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom