Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,375
Kwa nini tunaichukulia Love kama kitu kinacho 'exist' independently?
Ain't love a combination of lots of things?
I Believe it is combination of things. Sijasema it is something independant. na mimi nilimaanisha hiyo combination is not enough. Kuna vitu vingine ambavyo havitokani na hisia (Love might be made of things like affection, respect, admiration, care etc) bali vinatokana na mazingira. Vitu kama sharing the same values of life, vitu kama dini mbavyo vina influence kubwa katika vitu kama personal ambition, vitu kama relationship to money, relationship to family. Our positions on abortion, on homosexuality, our political views, . these things are part of our personality traits and IMO it is very important that these things are compatible. when they are, love just flows naturally. when they are not ndio unaona matatizo hayaishi ndani.
I am not saying that one compatible you will never fight, because people cant be 100% compatible, and people change over time. What I mean is: the more the compatibility the greater the CHANCES of being happy.
Tukirudi kwenye mada, I believe kua mtu alie lelewa kijijini, na ambae familia yake ipo kijijini, ni muhimu sana ku-discuss suala la kabila na mchumba wake. ikiwa hawana kabila moja (as it seem to be the case) basi wakubaliane kwenye masuala muhimu ambayo yanaweza kuleta clashes between families. Ndoa mara nyingi sio suala la watu wawili, ni jambo la familia mbili.
Nimesema sana, ngoja kwanza nikae nimsikilize Babu Dark City.