Tupunguze Gharama za Maisha

Rev naomba pia hapa nibishane na wewe kidogo
Hiyo ni definition yako kulingana na Wikipedia ila ukija kwetu hapa Sheria ya ndoa (The Law of Marriage Act) inatoa kitu kingine tofauti kabisa

Presumption of marriage
(1) Where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.
(2) When a man and a woman have lived together in circumstances which give rise to a presumption provided for in subsection (1) and such presumption is rebutted in any court of competent jurisdiction, the woman shall be entitled to apply for maintenance for herself and for every child of the union on satisfying the court that she and the man did in fact live together as husband and wife for two years or more, and the court shall have jurisdiction to make an order or orders for maintenance and, upon application made therefor either by the woman or the man, to grant such other reliefs, including custody of children, as it has jurisdiction under this Act to make or grant upon or subsequent to the making of an order for the dissolution of a marriage or an order for separation, as the court may think fit, and the provisions of this Act which regulate and apply to proceedings for, and orders of, maintenance and other reliefs shall, in so far as they may be applicable, regulate and apply to proceedings for and orders of maintenance and other reliefs under this section.

Hiyo kwa Uingereza inafaa ila kwa kwetu hapa sheria inakukaba hakuna kitu cha kucohabit

Sheria za bongo zinahitajiwa kufanyiwa marekebisho makubwa. Kwa maana hiyo Gal Friend wangu wa High School kwa miaka 2 kwa tafsiri hii alikuwa mke wangu?
 
Mimi sikubaliani kabisa na gharama watu wanazojibebesha kwenye suala zima la harusi matokeo yake wanasumbua watu wengine kwa michango kero kero ~ "Mimi ya kwangu nilikwenda bomani na fiance na mashahidi ikafungwa ndoa pale baada ya hapo tukaenda five star hotel na ndugu, jamaa na marafiki kila mtu akachagua meza inayomfaa, akatumia chochote akipendacho/atumiacho...na baada ya hapo kila mtu akalipia bill ya service aliyopokea"

Bright ukimuangalia Rev maelezo yake sio gharama tuu na rate za kuachana

Kama ni issue ya gharama tuu sio mbaya watu wanaweza kuamua kuzipunguza na kuoana kwa gharama kidogo sana tatizo kwa Rev hapo ni ile rate ya kuachana nayo imekuwa kubwa licha ya kutumia gharama au kutotumia gharama
 
Swadata!
 
Sheria za bongo zinahitajiwa kufanyiwa marekebisho makubwa. Kwa maana hiyo Gal Friend wangu wa High School kwa miaka 2 kwa tafsiri hii alikuwa mke wangu?

Rev hapo ni kuwa mmekaa nae nyumba moja kwa miaka miwili consecutively na watu au jamii inayokuzunguka hapo ikawaona kuw ammekuwa mume na mke. gal friend na boy friend mbona watu wanakaa miaka mitano ila wako mbalimbali hawaishi pamoja
 
Harusi zimekuwa na gharama sana kuanzia maandlizi hadi kufanikisha. Lakini ndoa ngapi ziko kwenye furaha kama wakati wa Kudate? Baada ya kero basi kuachana huwa ni suluhisho kwa wenzi wote. Gharama mara 2 Kuowa na kuachana (Divorce). Divorce huhusisha mambo ya kisheria kama spousal support, child custody, child support, distribution of propertyand division of debt. Kama kuna watoto basi ni ngumu zaidi. Lakini mambo haya huwa hayapo kuwapo na Uncontested divorce.

Angalia Takwimu za Marekani Mwaka 2008, takribani 40% ya ndoa ziliishia kwenye divorce. Kwa Tanzania ndoa nyingi hudumu kwa miaka 6 na baada ya hapo talaka na kuachana. Takwimu zinaonyesha ni 15% ya ndoa husheherekea 20 years anniversary kwa amani na upendo. Watu wengi huishi kwenye ndoa wakati hakuna ndoa hii ni katika kulinda status quo kuonyesha jamaa wako kwenye ndoa lakini ukweli ndo iliisha vunjika miaka kadhaa nyuma.

Kama unajua kuna kuachana kwanini uingia gharama mara 2? Kuowa na kuolewa na kuingia hassles za kuachana?

Kwa wale ambao hamjaowa ama kuoelewa I strongly Urge you NOT to get blinded unto Marriage institution. Cohabitation should be the way forward, Nina Advocate ndoa za mikataba....

Masa
+ 3yrs
 
Kwani lazima mkae pamoja? Kila mtu anaishi kwake mnakutana kwa appointments
 
Mmmh!! haya maneno yanatoka kwenye kinywa cha Mchungaji kweli?....?
AU hilo jina ni kinyume cha jina pamoja na maana yake.
 
Yes indeed pongezi kwa mume na wazazi wako waliokulea..........ndoa siku hizi si mchezo, leo mnakenua kanisani mpaka jino la mwisho ukipita mwaka mmenuna utadhani mlilazimishwa
Hivi ee, ahsante dinnah
 
Harusi zimekuwa na gharama sana kuanzia maandlizi hadi kufanikisha. Lakini ndoa ngapi ziko kwenye furaha kama wakati wa Kudate? Baada ya kero basi kuachana huwa ni suluhisho kwa wenzi wote. Gharama mara 2 Kuowa na kuachana (Divorce). Divorce huhusisha mambo ya kisheria kama spousal support, child custody, child support, distribution of propertyand division of debt. Kama kuna watoto basi ni ngumu zaidi. Lakini mambo haya huwa hayapo kuwapo na Uncontested divorce.

Angalia Takwimu za Marekani Mwaka 2008, takribani 40% ya ndoa ziliishia kwenye divorce. Kwa Tanzania ndoa nyingi hudumu kwa miaka 6 na baada ya hapo talaka na kuachana. Takwimu zinaonyesha ni 15% ya ndoa husheherekea 20 years anniversary kwa amani na upendo. Watu wengi huishi kwenye ndoa wakati hakuna ndoa hii ni katika kulinda status quo kuonyesha jamaa wako kwenye ndoa lakini ukweli ndo iliisha vunjika miaka kadhaa nyuma.

Kama unajua kuna kuachana kwanini uingia gharama mara 2? Kuowa na kuolewa na kuingia hassles za kuachana?

Kwa wale ambao hamjaowa ama kuoelewa I strongly Urge you NOT to get blinded unto Marriage institution. Cohabitation should be the way forward, Nina Advocate ndoa za mikataba....

Masa
Mchungaji unataka ndoa ya mkataba? kwa hiyo unasupport zinaaa..,usife moyo moyo mke/mme mwema hutoka kwa bwana..,wafundishe wasukuma waache chagulagas which result 2 talaka 3...Mtani ni wakati mzuri kufundisha wanandoa habari ya upendo wa agape ambao ndani yake kuna toba ya kweli...ambayo ndiyo dawa ya hizi talaka -samehe,achilia,sahau, furahia maisha, songa mbeleeee 2 jubilei ya 100yrs..
 
Na huu utandawazi inawezekana?
 
Mchungaji shindwa! Nafikiri focus iwe into premarital counselling ili watu wajue ndoa sio harusi. Something mchungaji mwingine alisema at mafundisho ya wedding ni watu tunaandaa sana harusi na sio ndoa. Aliwasihi maharusi kuhakikisha tunajiandaa kuwa washiriki kamilifu katika hiyo union na sio kufocus on gauni/suti/viatu bila kujisikiliza kwa karibu na kutafuta kumuelewa huyo unayemchagua kuwa mwenzi wa maisha.
 
Back
Top Bottom