tupime afya zetu kabla ya 2009

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
wanandugu hali ya sasa imekuwa ni ya hatari na ukimwi umekuwa si kwa wakubwa tu mpaka watoto wa shule na wengi wameamua kukimbilia kulekule
wazo langu tujitahidi kupima kabla ya 2009 tujue tunaanzaje 2009 ama kuendelea ama kuacha kabisa.kupumbuka ukiwa na ugonjwa huu ukiendelea kuendekeza sana ngono unakufa mapema ......
nawatakia kila la kheri YA MWAKA MPYA all JF N NON JF MEMBERS
CIAO
 
Tukishapima tuyakubali na matokeo. Hii itatuweza kujilinda vyema kwa mwaka 2009. Manake tusipokubali matokeo itakuwa kazi bure kupima.
 
Back
Top Bottom