Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Usijali sweetlo nimeleta beberu aliyehasiwa kabisa atakuwa mtamuje sasa......wataaanza na kisusio asubuhi kisha AshaDii atawaaandalia ilo biriani...wewe na mimi tutakuwa tunavuta dompo mdogo mdogo

ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

sasa hapo ndipo ninapoona maana ya kuwa na mume bora lol!
 
Last edited by a moderator:
am yours forever hny!............love you swtlo.

BTW unajua wanetu Ronn M na mkewe jeneneke wanakuja kwenye new yr eve. na niliwahidi kula birian na mbuzi na wakasema wanataka mama yao mkubwa AshaDii awapikie sasa sijui umekumbuka kuleta yule mbuzi??

Mwambie ukweli bana japo ataumia . . . . I mean tuliyoyafanya.
 
Usijali sweetlo nimeleta beberu aliyehasiwa kabisa atakuwa mtamuje sasa......wataaanza na kisusio asubuhi kisha AshaDii atawaaandalia ilo biriani...wewe na mimi tutakuwa tunavuta dompo mdogo mdogo

Savanah kama ulizopiga jana na Jack Daniels zitakuwepo pia?
 
gfsonwin sasa unaenda mbali, au hadi niweke na picha tulizopiga tukila batanani? Ukweli utakuweka huru.

Ila wewe hakika ni Kungwi nimekuvulia kofia!

wee nazi sio??

hahahha!...................mie ndo kungwi mwingine pc. hebu nenda kule jukwaa la juu kasome kwenye uzi mmoja hivi maana ya shanga utamjua kungwi lol!
 
Mkuu Kaizer, too late. Mwuulize huyo unayemwita mkeo gfsonwin aliyekuaga anaenda Tanga alikwenda? Aliishia wapi na alikwenda kula bata (batanani) na nani?

Kizuri kula na nduguyo kaka. Huna haja ya kuwa CC wapambe wako itakuwa fedheha.

Thanks gfsonwin, it was the best!

hakya mbbuzi mieee Superman una mbwembwe kama tetea kinda lol!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haaaa haaaa Mkuu, hujui yanayoendelea nyuma ya pazia? Haya wewe gfsonwin na AshaDii na wapambe wako woote Asprin; BADILI TABIA; Yummy; na cacico hebu kamateni hii as a special dedication ili mjue ukweli:

Offside Trick =Aambiwe (Babu jinga) - YouTube

Kazi ni kwenu!
heiya heiyaaaa! shostito BADILI TABIA hivi ue wimbo wa """achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!!""" uliimbwa na bendi gani tena??

na je ule wa '''nimempata nimempata wangu fundi??""
hebu mwimbie huyu Superman manake naona anasahau watoto wa migomigo wana sfa gani lol!
 
Last edited by a moderator:
uzuri mume wangu ananijua mwanzo mwisho na wewe ukisema tulienda tanga yeye anakushangaa manake tuko wote wiki sasa lol!

Hatukwenda Tanga bana, si tuliishia njiani Kunanihilu? Sasa unataka hata wambea kama Babu Asprin ajue? Khaa!
 
Last edited by a moderator:
wee nazi sio??

hahahha!...................mie ndo kungwi mwingine pc. hebu nenda kule jukwaa la juu kasome kwenye uzi mmoja hivi maana ya shanga utamjua kungwi lol!

Khaaa mkuu unazungumzia shanga hadi leo? Mi nilidhani unaongelea Gold Chain ya Kiuno! Ngoja nikasome. Ila ile habari ya Kiuno bila mfupa nimekuvulia kofia. Make sure Kaizer hapati kitu hiyo hadi akubali kuwa Mume Mwenza!
 
Last edited by a moderator:
Hatukwenda Tanga bana, si tuliishia njiani Kunanihilu? Sasa unataka hata wambea kama Babu Asprin ajue? Khaa!

kwnza nakushangaa sana ujuee yaani hapa tunapika mkate wewe umeleta abari za kunanhilu acha watu tupike mkate bana!!!

btw propose leo nikupikie nn kwa ajili ya new yr eve.

nb unapikiwa kama mtu baki si kama swtlo sawa??
 
heiya heiyaaaa! shostito BADILI TABIA hivi ue wimbo wa """achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo!!!""" uliimbwa na bendi gani tena??

na je ule wa '''nimempata nimempata wangu fundi??""
hebu mwimbie huyu Superman manake naona anasahau watoto wa migomigo wana sfa gani lol!

Hujaelewa Bibie! Mimi namwambie Ankali Kaizer mambo unayomfanyia nia kama vile unamfanya babu Jinga. Hebu sikiliza kwanza huo wimbo ndo ulete hoja zako za Achia ngazi . . . .
 
Last edited by a moderator:
Hujaelewa Bibie! Mimi namwambie Ankali Kaizer mambo unayomfanyia nia kama vile unamfanya babu Jinga. Hebu sikiliza kwanza huo wimbo ndo ulete hoja zako za Achia ngazi . . . .

uzuri kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji atiiii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom