Tupige marufuku kutumia title la Dr kwa watu hawa................

haina aja ya kumjali mtu na title... kunawasome na PHD`s lakini uwezo wao wa kufikiri mdo wanashindwa na form 6 leavers

ina maana viwango vya elimu vilivyowekwa havina maana.nadhani hii inachangia kupotosha jamii.thats why kibongobongo mwanaume yoyote anaefanya kazi hospitali huitwa docta wakati mwanamke huitwa nurse.
 
Hivi ni nani mwenye haki ya kutumia title hiyo kati ya Daktari wa binadamu, Daktari wa mifugo, Daktari (Mganga) wa tiba asili, Daktari wa falsafa, Daktari wa heshima au Daktari wa kimbinumbinu. Kama ni wote, tunawezaje kutambua aina ya daktari anayetambulishwa. Je kuna umhimu wa kuongeza maneno zaidi ya utambulisho?
 
Back
Top Bottom