Tupia tuneno tuwili twa busara kwenye hii picha ya waombolezaji

wamechokaje sasa? walijua yatarudi sijui ? so sad
View attachment 53600


Aaaaaaaah wanangu wa "BOMBA" naona mmechooooooooooooka,kazeni roho wanangu wenyewe,nyie ndio makamanda wa ukweli ya yanga.

Tukaze roho wanangu uzuri wenyewe wabaya wetu wanajulikana,wamepata walichokitaka lakini wajue hawajamkomoa Loyd bali wameikoa na kuiaibisha yanga yao,hii kitu itatuchukua muda mrefu kuja kulipa kisasi...na imeingia kwwenye rekodi,haifutiki.
 
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu sikuangalia wala kusikiliza mechi ya Simba na Yanga nikiwa hapahapa Bongo. Nilijua itakuwa mechi ya aibu.
 
Lakini jamani, on a serious note hivi kulikuwa na lazima kwa timu yetu ya simba kuwafunga magoli matano watani? Au ni 'misifa' tu!?:second:
 
dada huyo ameshaolewa, yanga hao wameshaolewa mahari ilishatolewa, hilo kweli ni janga la jangwa
 
yaniii wanawake wawili tu hapo.. inamaanisha wanawake nchi hii hawapendi kuangalia michezo au ??
wapo wengi angalia mwingine kwenye hii clip anavyotia huruma
[video=youtube_share;hI0pElqpoa4]http://youtu.be/hI0pElqpoa4[/video]
 
@Saint Ivuga Hawa Waombelezaji wamefiwa na nani mpaka tuwape pole za huo msiba wao mkuu?

kinachowaponza hii timu ni rangi za jezi zao, rangi za magamba! hapo wakibadilisha rangi tu nadhani everythin will b okay at least! hizo rangi huwa zinafanya macho yangu yanauma!
 
Siku ambayo haita sahaulika
simba inatisha hasa anapokuwa na njaaaa!
simba.jpeg
 
Back
Top Bottom