Tupia neno kama uliwahi kucheza mchezo huu

Vum vum.........hebu weka na kile unachomeka njiti ya kibiriti ktkt.......then unakizungusha chini kwenye sakafu...........
 
nilikuwa nafumua nyuzi za mifuko/ magunia madogo 25-50kg. Tutaje pia ilikuwa miaka gani tunachezea hivi vifaa, teh....teh!
 
Nakumbuka nikiwa moshi tunaenda kuweka visoda kwenye reli train ije ipite visagwe vinyooke viwe km kisu thn tunaanza kuvichezeaa
 
kwi kwi kwi kwi kwi kuna mdau eti kasema alikua ana mbinu kama chenge kanichekesha sana da nimecheza huu mchezo sana nimekumbuka mbali sana.tumetoka mbali mpaka saizi tunashika ofisi nyeti za nchi hii
 
Duuuuh..!! Miaka hii sidhani kama humchezo upo tena. !!!? Maana nakumbuka nilijibonda bonda sana vidole kwa kunyoosha hivyo visoda
 
Tupia neno kama uliwahi
kucheza mchezo huu.

Nimecheza sana huu mchezo na hivi visoda, nimetengeneza sana hivi vidude, ila sasa hivi ukiniuliza nilikuwa nainjoi nini, sijui. Maana ni kitu unazungusha, ikipamba moto unavuta huku na huku kwa vidole, vuuuuu vuuuuuuu vuuuu!
 
Back
Top Bottom