du!!! hii ilinitesa sana nilivyokuwa mdogo , mpaka nalia na washikaji wanakukomalia kwamba ni kweli , mzazi ndiyo anakutuliza kwamba si kweli basi siku nzima unashinda ndani , utoto ni kipindi kizuri sana ni maisha ya hapo hapo ulipo hakuna kuwazaukimuona albino unatemea mate kifuani mama yako asije kumzaa albino!
Kuna imani za kale zilizoaminiwa na jamii ktk makabila na tamaduni mbalimbali mfano
1.UKIPALIWA KUNA MTU ANAKUSEMA
2.JOGOO AKIWIKA USIKU UJUE KUNA MTU ATAKUFA
3.MKONO WA KULIA UKIWASHA UTAPATA PESA
tupia na wewe imani uliyowahi kusikia
ukimruka mtoto atakuwa mfupi!
Kuna imani za kale zilizoaminiwa na jamii ktk makabila na tamaduni mbalimbali mfano
1.UKIPALIWA KUNA MTU ANAKUSEMA
2.JOGOO AKIWIKA USIKU UJUE KUNA MTU ATAKUFA
3.MKONO WA KULIA UKIWASHA UTAPATA PESA
tupia na wewe imani uliyowahi kusikia
jicho la kulia likiwasha ujue: Bahati,
Jicho la kushoto liwasha: Bahati mbaya,