Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

tulikuwa na tcha mmoja anaita lobilo a.k.a lobs aka kichaka aka anko huyu alikuwa balaa
 
Mw. Upepe - anatembea kama kafungwa mota.
Mw. Kifimbo cheza - anacharaza kama hana akili uziri
Mw. Lete makono - anapiga viganjani
Mw. Weka ngoma juu - anacharaza pia lakini makalioni
Mw. Kombai - Mlevi wa "mnazi"
Mw. Masharubu ya shaba - alikuwa na sharubu nyekunduuuuu!
 
Mwalimu ambaye pia namkumbuka ni mwalimu kishazi,huyu mwl kila akifika darasani alikuwa anahitaji wanafunzi 2toe tofauti kati ya kishazi huru na tegemezi,Mungu ambariki ame2saidia kiukweli.
 
>Madam Liquid
>Dingii-->huyu alikuwa ni bonge la ticha (hdmaster) Yani alikuwa pic ile mbaya
 
Undertaker! yuko hapo Institute of Accountancy Arusha (IAA) anafundisha QM na FM. Ana mkwara balaa asikuambie mtu!
 
Contra..... Headmaster Kwiro Sec miaka ya 80--- alipenda sana kutamka neno contradiction.
Nyau..... Boarding master Tambaza High School----miaka ya tisini.
 
kulikuwa na robot amepanda hewan,serious yan sijawahi ona jino lake hadi kahama shule,teacher lokole Amee kila neno Da!
 
Back
Top Bottom