Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

Lol, nimemkumbuka mwl wangu wa o level, tulimwita Fat Agatha, based on a play ya english, na mwingine sokwe alikuwa na sura ka sokwe, mwingine mdomo wa love.
 
Mwalimu Pasu---jamaa alikuwa anapenda kwenda pasu kwa pasu na wanafunzi kwenye msosi haswa wakati wa ratiba za nyama na wali. Ingawa jamaa alikuwa anaishi kwake na ana mke!
 
Mbona wa Chemistry na Phyisics wanaongoza jamani kwa majina mengi na mabaya!
 
DON'TOUCH MY SHOES a.k.a overdot (math) anavaa suruali fupi.

ZINJA(rip) history
MINELI-alikuwa anavuta fegi balaa(lab)
MAKENGEZA(J.B) english.

MARUKU SEC BKB 2003.
 
Every student must score 'tamasini juu ya mia" Teacher tamasini juu ya mia propelled us to university.
 
Kwa waliosoma tabora boys mika ya 2007-2009
Molar Mass - Alikua akifundisha chemistry
Binomial Nomenclature - ticha wa Biology
 
Dah,kulikuwa kuna ticha wetu anaitwa pilato,yani ukichelewa namba tu unaipata getini
Ticha mwingine aliitwa Ngugi wa Thiong'o na stori zake za vitabu vya english
Afu wa mwisho aliitwa mofimu,kama kawa kiswahili kwa sana

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mh! Mbona hata sisi tulikuwa na walimu kwa majina hayo? St Anthony`s? Kuna wengine kama:

1. Lokichogio - Mwl w Geography alipenda sana kutoa mfano w huo mji w Kenya
2. "Msijivunie wingi ntaga kundi" - Mwl anaitwa Turuka alipenda sana kutoa mkwara kwa wanafunzi kuwa atamtafuta mkosaji hata kama akijificha katikati y kundi
3. Christmas tree - Alikuwa very smart but anapenda kuvaa nguo z rangi NYINGI!
 
Mwl kitambi- alikuwa na kitambi kile cha mnazi, ila nikaja kubaini ni jina lake,
mwl kistuli-alikuwa mfupi
 
mwl wa biology ,ye phylum chordata ,alichapia akaiita chorida na ndo likawa jina lake..
Mwngine Boliumu, alichapia kusema Volume,
mwingine, Enzime.,teh alikuwa hawez kusema Enzymes,
namkumbuka ticha chedule,.alichapiaga schedule,teh teh
 
Back
Top Bottom