Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

Me nawakumbuka sana wa primary.......mmoja nilikua namwita sendezi(hawez sema sentensi)
 
Ooh my God! Nawaza wanafunzi watakavonipa majina nikianza ualimu! Teh teh! Me nakumbuka gonogono- bios, bingo-maths, archemedes-physics hapo ni machame girls! Kuna kiodombi, zinja, izntit, two in one - ycs centre!
 
below 40 mwalim wa namba,mtambo wa gongo mwalim chem& phy, nasa line mwal wa commerce,ziro mapozi au buju bantoni displine master,bichwa mwal wa history, bush runners jina la wanafunzi,wa2 pori jina la shule english day mwal wa english, yanatosha
 
Azania kulikuwa na mwl kicheche. Inasemekana alikula kuku wote
 
Kibasila kulikua na
Kibana nnya
Chadogi(kichaa cha mbwa)
Mr konshumana
Mzee wa yelo( a apenda mirinda)
 
Jina la utani 'Bob Amjad Khan' -Mwalimu huyu alikuwa akitembea, kama Muigizaji maarufu wa Kihindi (enzi zile) Bob Amjad.
 
Back
Top Bottom