Tupeperushe bendera ya tunisia!

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
213
7
Katika kipindi cha miaka mitano ,tumeshuhudia nchi iksambaratika kwa kukosa dira na uongozi kwa hali ya juu.Mifano ni mingi na itaendelea kuja .Tumeona serikali ikikosa kabsa utashi wa kuwatumikia watu WATU WAMEKATA TAMAA ,UFISADI NA MMOMONYOKO WA MAADILI UMNASHIKA KASI;KAMA HATUA HAZITACHUKULIWA HILI OMBWE LAUONGOZI LITATUANGAMIZA.TUSIJE TUKAWAPA WATAFITI KAZI YA KUFUFUA MAKABURI YETU KUANGALIA TULIKUWA WATU WA AINA GANI TUKIACHA HAYA YAKIENDELEA!SASA TUCHUKUE HATUA!
Tuchukue Hatua!
Tuacha kulalamika. Wana wa Israel walipokuwa wanahaingika ktk milima ya Ethiopia Mungu ALIAWAAMBIA ..SASA YATOSHA !NA SISI IFIKIE HATUA TUSEME SASA YATOSHA !
KULALAMIKA HAKUTOSHI ...TUINGIE MITAANI TUASI WATAWALA HAWA MADHALIMU!KAMA MSUMBIJI WALIINGIA MITAANI KUPINGA ONGEZEKO LA MKATE KWA 8% LEO SISI VIPI NDANI YA UCHAFU WOTE HUU?
MFANO WA TUNISIA UNAFAA SANA ....KWA NN TUTALIWE BADALA YA KUONGOZWA.
TUCHUKUE BENDERA YA TUNISIA TUIPEPERUSHA SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
Back
Top Bottom