tupeni hizo habari mbaya kuhusu msanii dimond

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
mitaani wanasema maneno tofauti. Mara ya mwisho nasikia msanii dimond anaumwa ila sijasikia kazidiwa au anapumua vibaya. tupeni maendeleo yake coz watu washaanza kulia. Mia
 
Hizo habari zilizagaa tangia juzi ila rafiki yake Shetta DarStAmInA amesema kwama Diamond yupo fiti.
 
mitaani wanasema maneno tofauti. Mara ya mwisho nasikia msanii dimond anaumwa ila sijasikia kazidiwa au anapumua vibaya. tupeni maendeleo yake coz watu washaanza kulia. Mia

wengine wanasema eti laana ya babake imeanza kumtesa kama ilivyokuwa Kanumba..ila bado tunae.
 
Mi mwenyewe kanistua....dah
Figganigga na Diamond wapi na wapi?

Hili Taifa sijui sasa linaekea wapi? maana hawa Bongo movie + Ubongo wa Fleva sasa naonekana wanataka kulisilimisha Taifa ili kila mtu awe mpenziwa vitu vya kipuuzi puuzi, kuna thread humu nimeuliza Mkasi hasa ndio kipindi gani zaidi ya kuona mtu akinawishwa miguu na kungwaliwa kucha?
 
Watu wanajifanya hawafuatilii ila wanajua wanachojifanya hawakifuatilii!!!!matola na chomba acheni kuact wazee!
 
Matola naona humu hamkufai, labda ungerudi jukwaa la Siasa ukapige siasa. Usitake kila mtu apende unachokipenda na achukie usichokipenda. Huko kuoshwa miguu na kukwanguliwa kucha ndiko vijana wa kisasa wanachofurahia (u might be a little old for this dude)
 
Watu wanajifanya hawafuatilii ila wanajua wanachojifanya hawakifuatilii!!!!matola na chomba acheni kuact wazee!

Muuza Sura hapa ingekuwa ni habari ya Jay Moe ningechangia usiku na mchana.
Huyu Dogo nakuhakikishia ni Big G, hawa ndio wale wasanii ambao ili wabaki juu ni lazima wazushe skendo.
Huyu Dogo anajizushia skendo ili Miuza Sura na wenzio mpate cha kumfuatilia.
Tazama alivyowaburuza kama watoto wadogo kuanzia kwa skendo ya kumvalisha pete huyo ushuzi mwenzie, kisha akawaokota kuwa wameachana, mara wakarudiana, mara sijui wameonekana Hotel gani, mara sijui wameachana, mara Jockate akaingilia, mara Diamond akakataa kupokea Hela ya wema aliyotunzwa, mara sijui Diamond katua na Helcopter, mara Mama Wema kawachamba maadui wa Mwanawe kwenye TV, mara Wema anadai yeye ndie alikuwa wa Kanumba, mara sijui Wema anapambana na Wolper, Wema mara kanunua Nyumba ya Gharama, mara Diamond agombana na Baba yake, Mara Diamond anaumwa sijui kichocho, mara Wema atangaza kwenda BBA nxt Year...

na wanateka magazeti ya Marangi rangi ili mradi tu habari zao ziwe zinatolewa kwenye magazeti yenu hayo yaliyojaa matangazo ya waganga.

Fanculo

Mpaka mtakaponitumbukiza kwenye Nyumba ya Milele sintawakubali wasanii Wema Sepetu na Diamond.
 
Tazama alivyowaburuza kama watoto wadogo kuanzia kwa skendo ya kumvalisha pete yupo ushuzi mwenzie, kisha akawaokota kuwa wameachana, mara wakarudiana, mara sijui wameonekana Hotel gani, mara sijui wameachana, mara Jockate akaingilia, mara Diamond akakataa kupokea Hela ya wema aliyotunzwa, mara sijui Diamond katua na Helcopter, mara Mama Wema kawachamba maadui wa Mwanawe kwenye TV, mara Wema anadai yeye ndie alikuwa wa Kanumba, mara sijui Wema anapambana na Wolper, mara kanunua Nyumba ya Gharama, mara Diamond agombana na Baba yake, Mara Diamond anaumwa sijui kichocho, mara Wema atangaza kwenda BBA nxt Year...

na wanateka magazeti ya Marangi rangi ili mradi tu habari zao ziwe zinatolewa kwenye magazeti yenu hayo yaliyojaa matangazo ya waganga.

Fanculo
Mpaka mtakaponitumbukiza kwenye Nyumba ya Milele sintawakubali wasanii Wema Sepetu na Diamond.

sasa wewe unasema uwafuatilii wala huwakubali,lakini umetoa summary yao ya ukweli...yani ni zaidi ya kuwakubali..mkuu kwa nini unaidhulumu nafsi kiasi hicho!!!ahahahaahahahaha!!
 
Ukishakuwa maarufu lazima ukubali skendo...
sio kila siku watasifu lazima watapiga dongo...
Kuna Wengine hawapitishi hata wiki wamefanya jambo...
Na wengine wakiona hawaskiki watajifanya wana skendo...
Chomba ni yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kipara hakuna nywele style ya kiduku itapita...

Am so Famous...
 
sasa wewe unasema uwafuatilii wala huwakubali,lakini umetoa summary yao ya ukweli...yani ni zaidi ya kuwakubali..mkuu kwa nini unaidhulumu nafsi kiasi hicho!!!ahahahaahahahaha!!

Hivyo vitu vyooote nilivyokutajia vimo humuhumu.
Tuliza kiuno chini utaona tu habari zao.
 
Muuza Sura hapa ingekuwa ni habari ya Jay Moe ningechangia usiku na mchana.
Huyu Dogo nakuhakikishia ni Big G, hawa ndio wale wasanii ambao ili wabaki juu ni lazima wazushe skendo.
Huyu Dogo anajizushia skendo ili Miuza Sura na wenzio mpate cha kumfuatilia.
Tazama alivyowaburuza kama watoto wadogo kuanzia kwa skendo ya kumvalisha pete huyo ushuzi mwenzie, kisha akawaokota kuwa wameachana, mara wakarudiana, mara sijui wameonekana Hotel gani, mara sijui wameachana, mara Jockate akaingilia, mara Diamond akakataa kupokea Hela ya wema aliyotunzwa, mara sijui Diamond katua na Helcopter, mara Mama Wema kawachamba maadui wa Mwanawe kwenye TV, mara Wema anadai yeye ndie alikuwa wa Kanumba, mara sijui Wema anapambana na Wolper, Wema mara kanunua Nyumba ya Gharama, mara Diamond agombana na Baba yake, Mara Diamond anaumwa sijui kichocho, mara Wema atangaza kwenda BBA nxt Year...

na wanateka magazeti ya Marangi rangi ili mradi tu habari zao ziwe zinatolewa kwenye magazeti yenu hayo yaliyojaa matangazo ya waganga.

Fanculo

Mpaka mtakaponitumbukiza kwenye Nyumba ya Milele sintawakubali wasanii Wema Sepetu na Diamond.

Mkuu mi nataka nireport abuse. Hilo neno la Kiitaliano umelitumia kwa bahati mbaya ama ulidhamiria?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom