Tupeane taarifa juu ya mazingira ya kazi kwa ngos na mashirika yafuatayo.

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,335
5,568
Ndugu zangu naomba mnisanidie kunipatia elimu juu ya NGos na mashirika yafuatayo, hasa juu mishara,kukua kitaaluma, uhakika wa kibarua chako na amani uwapo kazini.Mashirika hayo ni:-
FAO tanzania,
Wildlife conservation society of Tanzania
Technoserve
Lando'keswako arusha
African wildlife foundation , ya Arusha pia.

Natanguliza shukrani kwa elimu.
 
Do! Inaonekana na watu wachache wamewahi kufanya kazi kwenye hizo ngos ambao wanapitia JF. Sasa hizi taarifa tutazipata wapi kama siyo hapa?
 
Back
Top Bottom