Tupeane 5

Niandalie Kware wawili.
Mbuni huwa sipendi

Naikumbuka treni jamani, nikipita saranda, nakula kuku ana paja kama la binadamu ila walikuwa watamu tu.

ha!...kumbe hatuko mbalimbali....njoo nitembelee basi hapa Shelui....
 
Mie nina barua, nataka akaidondoshe Mwabulenga
Hapo kijijini mzee wangu ni rafiki wa VEO so itamfikia.

Utafika Isaka nikupe dagaa za kumpelekea shangazi?
Kaolewa na msomali fulani, wanakaa Kahama, but
ukifikisha mzigo Isaka kwa Ami Hamdun lazima watampelekea.
 
Niandalie Kware wawili.
Mbuni huwa sipendi

Naikumbuka treni jamani, nikipita saranda, nakula kuku ana paja kama la binadamu ila walikuwa watamu tu.
Unakula kuku saranda, pia unanunua na shampoo ya aina ya PANTHENE. hahahahaha
 
1765032.jpg b04304.jpg jp082005_1873.jpg k3861026.jpg k4451725.jpg hi 5!!!
 
Utafika Isaka nikupe dagaa za kumpelekea shangazi?
Kaolewa na msomali fulani, wanakaa Kahama, but
ukifikisha mzigo Isaka kwa Ami Hamdun lazima watampelekea.

Ungeishia "kwa msomali' nisingestuka lakini "msomali fulani".....mmh kuna usalama kweli
 
Upo dom au singida pande zipi nikutafute............unakula gambe la asili nikurushe?
 
Back
Top Bottom