Tupe mtazamo wako!

Huyu mfungwa alikuwa akitembea katika daraja lenye kingo ndefu kushoto na kulia.At the moment alipoliona gari la polisi mbele yake,alikuwa anakaribia kumaliza kulivuka daraja.Kwa hiyo ujanja ilikuwa ni kumalizia kipande kidogo kilichobaki then ku-diverge porini.Angechukua uamuzi wa kurudi nyuma alikotoka ingekuwa rahisi kwa wao kumkamata kabla hajalimaliza kukimbia the entire bridge length.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom