Tupange namna ya kupinga mathimisho ya miaka 50 uhuni

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Tupeane mbinu namna tunaweza weka mipango ya kuweka mgomo baridi au moto tuakikishe ujumbe umefika kwa mafisadi na serekali yao nasubiria nani kawai
 

Attachments

  • Jkkk.JPG
    Jkkk.JPG
    36.5 KB · Views: 38
Hiyo picha hapo juu imewekwa na maroboti wa kwenye komputer ni noma
 
Hivi kweli kuna kitu cha kujivunia kweli au ni kutaka sifa tu!
 
Kuna haja kila mtu siku ya sherehe ya miaka hamsini akatoka na bakuli kuelekea ofisi yoyote ya kimataifa iliyo karibu ili kutoa ujumbe kwa serikali na kwa watoa misaada kwamba watanzania hatufurahii hata kidogo na tendo la nchi yetu kuwa omba omba wakubwa kiasi hiki baada ya kujitawala kwa miaka hamsini. Kwamba viongozi wetu wanatudhalilisha sana wanapotembea na mabakuli ya kuombea misaada nje ya nchi ingawaje wao wanaona ni sawa tu. Kwamba wanatudhalilisha wanapokosa misaada walioahidiwa wanaanza kulia lia kama watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom