Tupac is Alive

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
183
0428_tupac_lives_ex_launch.jpg

13 years after he was shot and "killed" in Las Vegas ... a man appearing to be 2pac was spotted in a bar on Bourbon Street last weekend.-TMZ
 
Hata Elvis Presley kaonekana Walmart,chicago anafanya shopping

Yah sure!!!

Watu jana wamewaona Nyerere na Karume wanatokea kwa mama ntilie mbagala baada ya mlipuko!!

EVERYTHING IS POSSIBLE UNDER THE SUN!!!!:rolleyes:
 
Yah sure!!!

Watu jana wamewaona Nyerere na Karume wanatokea kwa mama ntilie mbagala baada ya mlipuko!!

EVERYTHING IS POSSIBLE UNDER THE SUN!!!!:rolleyes:

DU I hope kelele za mafuta na muungano zitapatiwa suluhisho soon, vipi walisaidia wahanga kidogo?
 
Kulikoni?

Kesho Mei Mosi, Sokoine atahutubia wafanyakazi kule Musoma akilenga zaidi kuhimiza mapambano dhidi ya Ufisadi na Uhujumu uchumi. Baadaye atakuwa na Mazungumzo na Nyerere pale Mwitongo - Butiama. Nyerere ameonekana maeneo hayo tangu Juzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom