Tuongelee muziki wa rock wadau.

Mkuu umenikumbusha lamb of God kuna video moja dingi alitaka amuandalie mwanae birthday party akaangalia majina ya bendi akaona jina lamb of God linasound vizuri akawaalika! watoto nusura wawe viziwi.
vipi unaifahamu MP3ville.com? jamaa wana torrent files za album mpyampya
hahahhahahahaa, hawa jamaa wanaweza. wow, nitaichek hiyo mp3ville.com, thanks brother.
 
jamani msisahau kusikiliza livewire ya east africa radio ifikapo saa nane mchana. wish good sunday to you all.
 
wakuu mimi nina kisa naomba ni share na nyinyi nilianza rasmi kupenda rock mwaka 2006 nikawa namsikiliza ryan secret american top 40
band kama my chemical romance, daughtry, evannecence walinivutia nikawa nawasikiliza kina linkin park,
kipindi hiko my fav band yangu ilikuwa linkin park
kings of leon,
sasa bwana nikabadilika taratiibu from rock kwenda metal sasa hivi ukinisikilisha nyimbo za kina linkin park nakuona mzushi nikaenda mpaka nikawa (death bats) hii ni jina rasmi wanaoitwa mashabiki original wa band ya AVENGED SEVENFOLD hapa naongelea metal heavy metal, nikaenda 2011 nikawa nina band mbili avenged sevenfold na SLIPKNOT hawa wana nyimbo yao moja inaitwa IF YOU ARE 555 THEN AM 666
 
mkuu story yako imenifurahisha sana, mi mwenyewe nilikuwa nasikiliza american top 40 miaka ya 2003/04 enzi hizo kuna nyimbo kama breaking the habit za linkin park na dont tell me ya anviril lakini siku hizi hata album moja ya linkin sina arviril ninayo goodbye lullaby lakini siihusudu, nahisi metal hazichoshi kirahisi niliwasikiliza dragon force sikuwachoka nimeisikiliza nightmare ya A7X ni wakali, mwanangu angalia usije ukawa vampire bat
 
sasa hivi mimi ni maggots..
(slipknot) ambao taratibu naona nawakimbia uliza sasa nataka kuwa shabiki wa nani MARYLIN MANSOON
hawa jamaa wana nyimbo nzuri tu kama
the people
personal jesus
na sweet dreams nimeanza kuwasikiliza hivi karibuni (japokuwa nilikuwa ninawajua tokea zamani) na nimekuwa inspired baada ya WRATH OF TITANS MOVIE (2012) kuwa na soundtrack yao

metallica ni giants nawakubali nimehudhuria hata concert yao moja... they are good
by the way i wish bongo tuwe na HARD ROCK CAFE....
 
jamani msisahau kusikiliza livewire ya east africa radio ifikapo saa nane mchana. wish good sunday to you all.
dAH! hicho kipindi huwa sikikosi, ila sometime wanapiga nyimbo za long kidogo, but nakipenda sana.
 
salama brother? nipo na angel and air waves album yao ya 2011 inaitwa love 2 , umeisikiliza? hawatakuangusha!
 
mkuu story yako imenifurahisha sana, mi mwenyewe nilikuwa nasikiliza american top 40 miaka ya 2003/04 enzi hizo kuna nyimbo kama breaking the habit za linkin park na dont tell me ya anviril lakini siku hizi hata album moja ya linkin sina arviril ninayo goodbye lullaby lakini siihusudu, nahisi metal hazichoshi kirahisi niliwasikiliza dragon force sikuwachoka nimeisikiliza nightmare ya a7x ni wakali, mwanangu angalia usije ukawa vampire bat
aiseeee bro, ni wengi sana walianza kupenda rock hapo, mimi nilipenda nilianza kupenda nilipopewa ipod yenye rock kutoka kwa rafiki yangu wa nje. Pia hicho kipindi kilizidi kunipa hamu ya kuupenda mziki. Wengi sana walianza kuwapenda linking park, avril, evanescence, ila bro, biiiiiiiiiiiiiiiiiig uuuuuuuuuuuuup sana. Ulipowataja a7x (avanged) nimekupa respect na nimeamini we mkali, aiseeee hawa jamaaa nawapenda sana, walipoa sana alipofariki jimmy the rev ambaye alikuwa mpiga ngoma wa kwanza kwa metal duniani, ila nimefurahi sana mwaka jana walipoamua kurudi, kuna pini kama "dear god", "so far away", "nightmare" ni pini kali sana na wanaweza sana kimziki. Hapo umenifurahisha sana. Rock on bro.
 
salama brother? nipo na angel and air waves album yao ya 2011 inaitwa love 2 , umeisikiliza? hawatakuangusha!
Wow, kwa kifupi sipo interested sana na hilo group ila ninayempenda ni Tom DeLonge (bassist and vocalist), ila napenda sana kumuona DeLonge akiwa Blink 182 kuliko A&A
 
but naskia takwimu zinaonyesh akuwa kati ya wapenzi wa rock na wale wa ragge basi wale wanaopenda zaid kuskiliza miziki ya rock wanaongoza kwa kujinyonga. hii study imefanywa huko majuu na wajuzi wa miziki.
 
Haha, kuna aina za rock. kuna metal, classic, gothic, metal, alternative, rap rock, punk rock, pop rock, electrica n.k, inategema na kind ya rock, ki ukweli wanaopenda metal na gothic sana wanakuwa ni watu vichaa ila sio wote. Mimi napenda sana classic mf coldplay, alternative mf Nickelback ila some metal. Pia Reggae ninapenda sana tena sana, Reggae ni mziki wa wanamapinduzi, wapenda amani n.k
 
kweli bro sio wote nilisikia wapenda subgenre ya emo (emotion) ndio huwa wanaathirika sana wanasema inaathiri kuliko hata movies, kuna story binti fulani fan wa rise against mwenye miaka 13 alijinyonga huko uingereza baada ya kukolewa na maashairi
 
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa nimeanza kumsikiliza Marlin Mason, Rob Zombie, Cradle of filth n.k nikaona sasa its too much, Marlin Mason ameshika chat mwaka jana ya billboard ya msanii anayetisha kimuonekano kuliko wote, yaani jamaa anapenda makeup ya kizombie. Kuna Emo nzuri ambazo zimetulia mfano Boys likes girls nawapenda sometime.
 
Oooh Yeah kitu cha rock music sema kweli me napenda saaaaana mpaka natamani nitafte watu tuanzishe band hapa bongo au jamani mnasemaje kuhusu hii idea?
 
Back
Top Bottom