Tuongee Siasa na Star TV

Heche: Kumwaga damu siyo kupiga risasi: ni Watanzania kufa kwenye ajali kutokana na ubovu wa miundombinu na ubovu vyombo vya usafiri. Watanzania kufa mahospitalini kwa maradhi yanayotibika.

Watanzania wakihoji haya, wanaonekana (na CCM) kuwa wanafanya vurugu.
good point Heche!
 
watu mnamchanganya Heche na Wenje kuweni makini zaidi mnapotosha,nimechelewa kidogo kuangalia Star tv, sijamuona Wenje na hayo hapo juu mnayosema ni Wenje amezungumza nilimuona Heche akizungumza.Wenje sijamuona labda kama ameondoka kabla sijawasha tv.
 
kafulila anapoint nzuri lakini inahitaji uthibitisho wa kisayansi.tunahitaji kuwa na population ya wtz 2005 na 2009 ili kwa kutumia figure alizotaja tuweze kupata proportion ya masikini 2005 na 2009.
Hili ni kosa ambalo wanasiasa hulifanya kilamara.
Principle ni kwamba never compare numbers,compare proportion.kwa wale wanaojua biostatistics wanaweza kutusaidia.

unaweza kuwa na hoja kuhusu wanasiasa (manake wanasiasa wenyewe tulionao ndo kama hawa kina tambwe hiza).

lakini unadhani hata REPOA nao hawazingatii factor ya proportion?
 
watu mnamchanganya Heche na Wenje kuweni makini zaidi mnapotosha,nimechelewa kidogo kuangalia Star tv, sijamuona Wenje na hayo hapo juu mnayosema ni Wenje amezungumza nilimuona Heche akizungumza.Wenje sijamuona labda kama ameondoka kabla sijawasha tv.

now you talk!
 
Cheche/Data/Facts za Kafulila:

Serikali ya Mkwere iliahidi kupunguza umasikini kwa 50%.

2005: masikini walikuwa milioni 11. (REPOA)

2009: masikini walikuwa milioni 12 na laki 7. (REPOA).

Mimi sijui hasabu, elimu yangu ya ngumbalu............

hapo umasikini umepungua au umeongezeka?

tambwe iza anajua umeimprove! Yeye akiona figure inakuwa kubwa anadhan ndo poa,kama kuhesabu ela vile,yan ukiwa na mia5,ikifika sh.mia8 ndo imepanda. Tambwe ana akili iyo.
 
watu mnamchanganya Heche na Wenje kuweni makini zaidi mnapotosha,nimechelewa kidogo kuangalia Star tv, sijamuona Wenje na hayo hapo juu mnayosema ni Wenje amezungumza nilimuona Heche akizungumza.Wenje sijamuona labda kama ameondoka kabla sijawasha tv.

inawezekana mkuu,kwanza tv yangu chenga tupu. Mi nasikiliza sauti na kivuli cha mtu,kwa iyo rahisu kuwachanganya. We beba point,uedit majina,au sio mkuu!
 
Hivi Kinana yu wapi?

kwao. Si ile tempo ya uchaguzi imeshaisha? Sasa yuko anaisaka ile ya kuongoza tume ya katiba. Yeye pasipo na maslahi huwez msikia. Kama RA vile,wao ni penye %,siasa ni kama byproduct.
 
Tusubirie next wk, hiza ana elimu gani asijekuwa form 4 au std 7 then tunabishana mtu asiye na elimu
 
unaweza kuwa na hoja kuhusu wanasiasa (manake wanasiasa wenyewe tulionao ndo kama hawa kina tambwe hiza).

lakini unadhani hata REPOA nao hawazingatii factor ya proportion?

Repoa wanalijua hilo.
Point yangu ni kuwa mwanzo kabisa Kafulila anataja percent(proportion) i.e 50% lakini hatuelezi in 2005 kulikuwa na X% ya masikini na baadae Kuongezeka na kuwa Y% ya umasikini badala yake katutajia namba.tahadhari ni kwamba unaweza kuwa na utofauti wa namba lakini proportion zikawa sawa.sidhani kama REPOA walifanya conclusion kwa kutumia namba pekee,kama ni hivyo they also need to be corrected.
 
hivi hawa wasambaa wawili Hiza na Makamba sisiem imewatoa wapi........ waende wakakaange chipsi mayai hawajui siasa

kwa wale wasambaa mtanisamehe..
 
kipindi kimekwisha kitaendelea j2 ijayo,cha msingi malalamiko Tambwe na ccm yake ni UFUNUO WA CHADEMA KWA WATANZANIA JUU YA HAKI ZAO UNAIANGUSHA CCM,Tambwe ilibidi awempole baada ya Wenje kumpiga ribit na uongo wake,na ninavyomuelewa Tambwe na ccm yake wako nyuma ya wakati,sisi tuluimba kuzaliwa chama kipya pale diamond jubilee 1977,baada ya kuona ccm inabakia na viongozi wa kuabudiwa kwa kila wanololisema na wanalolitaka liwe tuliamu kuchagua jia ya uzima,siwaelewi mbaka sasa hawaoni dunia imebadilika mtoto wangu wa kwanza sasa anapiga kura,hajui kama kulikuwa na chama kimoja ansoma kwenye vitabu,na makelele ya kina Tambwe na wenzake,hata ndani ya sisiemu kwenyewe hali sio nzuri vijana wanataka kuchukua madaraka,wanawatupa kwa sababu wanaona wao bado wanafaa.Hawa vijana waadilifu katika taifa lao ndio wanaipinga sisiem wakiwa katika vyama vingine na hata wakiwa hawapo katika chama chochote.
2015 mara tano ya vijana walioipinga sisiem 2010 wataipinga 2015 na kuiunga mkono CDM 2015 kutokana na ufunuo wanao upata toka kwa CDM.
kama yote sisiem hawayasomi hakika wajiandae kuongoza ofisi zao tu 2015.

Mwisho naomba watanzania wote kwa ujumla wetu tukatae nchi yetu kufanywa tambara la deki,tuna mali nyingi sana za kila aina watawala wasifanye ni zao pekee,viongozi wasio waadilifu tuwaseme hadharani na kama hawasikii tuwapinge kwa maandamano,tusipo jitolea leo,hakuna tanzania ya kesho, kufa kwa ajili nchi yetu ni tunu kwa watoto wetu na taifa letu,mungu ibariki tanzania wabariki pia na watu wake.
 
Ujumbe kwa Star TV - Baruwani Muhuza na Yahaya, very good job, excellent tunataka mijadala kama hiyo. Naomba nitoe angalizo: Tafadhali tunapokuwa na issue sensitive kama hii angalieni watu wa kuwaalika. haiwezekani mnaleta mtu kama Tambwe Hiza kwenye mada nyeti kama hii. Huyu kumchanganya na akina Kafulila ni sawa na kumchukua Mwaikimba umchanganye na Chelsea halafu utegemee mchango wake kwenye timu, hakuna!!!. tambwe yeye ni PROPAGANDA as usual (yaani kugeuza uongo kuwa ukweli na ukweli kwake kuwa uongo) ndiyo tafsiri ya propaganda, point kwake ni kejeli kama alivyo kaka yake Makamba.

Kipima joto cha ITV ijumaa nusura au niseme alikivuruga, siyo mstaarabu hata kidogo, achilia mbali elimu na uelewa mdogo alio nao. Kwa walioangalia ni mashahidi. Ilifikia hatua mzee Masako alionyesha kuchukizwa wazi wazi na Hiza. Huyu hafai. Kama ccm hamna mtu yeyote wa kuwakilisha kwenye midahalo kama hii ni afadhali kutotuma mwakilishi, huyu anazidi kuibua hasira za watz na kwa kweli anazidi kuliremba kaburi la chama chake.

OMBI: Ili tuwe na mjadala mzuri Jumapili ijayo tafadhali msimlete Tambwe vinginevyo mjadala utatawaliwa na kejeli na mwisho wananchi watapiga simu za kumtukana Tambwe. Yeye mwenyewe kama ana uwezo wa kusoma humu kwenye JF atangaze udhulu wa kutokuwepo jumapili ijayo kama alivyofanya Ngeleja siku ile: Oh mh waziri yuko China!!. sawa kabisa, alijua hana jipya
 
Ukiona hivyo ujue mashambulizi yamewaelemea. Tulishasema katika soka dawa ni kushambulia kwa nguvu. kuna matatu: mtafunga, watajifunga au mtapata penalti. Kinachoonekana hapa ccm wanajifunga goli wenyewe. Na magoli ya kujifunga matamu kweli!

Tambwe Hiza si mtu ambaye CCM ingempatia cheo kama hicho, mtu wa propaganda si kufanya kazi ya uropokaji........Makamba hana uwezo mkubwa kuongoza chama hicho kielimu na utashi na amekuwa akikumbatia mambumbu kama akina hiza kwani anaogopa challenges kutoka kwa wenye upeo mkubwa.. Ndugu zangu hali ya kisiasa pale Lumumba si nzuri, watu wananuniana...wanafitiniana....hawasalimiani......Na makamba hata katika mchakato wa Chama mwaka jana alipokea fedha sana kwa wagombea hata wachafu kama kinyesi.... Pale Morogoro kwake alimweka mtoto wake mmoja ndo alikuwa anapokea fedha za rushwa na nasikia kwa kuwa JEYKEY naye anamsikiliza huyu jamaa sijui ni kwa nini lakini inasememekana hata ukuu wa Wilaya na ukuu wa mikoa watu wanapeleka fedha kwa Makamba ili amshawishi Kikwete awateuwe na wengi ni walewaleeeeee ambao hata hawajui la kwenda kufanya.

Ukweli lazima mabadiliko kwa ukombozi wa Taifa hili, tutajutia kwa haya......Mungu atupe nguvu tujitambue....Hata wale majuha walipo humu wanaotumiwa na mafisi wenzao kutafuna nchi yetu tusipoteze muda kulumbana nao wengine ni hao akina RZ1, EL nk ama wafuasi wao......Mabadiliko katika nchi hii ni lazima kama mtu unaitakia mema nchi hii na naamini yanakuja na katika historia ya tanzania kuna watu baada ya uchaguzi wa 2015 watapelekwa the Hague namsii IGP na DGTISS wajue wao ndo watakuwa wakwanza kwani CCM kwa hali ilivyo haitashinda na CCM chini ya rais anayemaliza kipindi chake atataka ailinde CCM isipotee mikononi mwake kama KANU na kwa hivo basi atachakachua vibaya sana na watu wahatakubali wataingia barabarani, wao watatuma FFU na vifaru mtaani kuuwa kama ARUSHA na hapo ndo cha moto watakiona......Tunahitaji taathira njema katika nchi hii.......tunahitaji Tanzania yenye ustawi kwa vizazi vijavyo........Tunahitaji kuutafuta sasa Uhuru wa kweli katikanchi hii....Hii inawezekana kwani nataka niwambie ukijua hata ile siri ya ARUSHA na ukipita katika makambi ya majeshi ukayasikia wanayoyasema na mikakati iliyopo kuunga mkono mabadiliko, inatia moyo kuwa mabadiliko yanakuja........kwa taarifa yenu hata pale ARUSHA polisi walikufa hasa makuruta na Polisi wakatoa taarifa kuwa wamekufa mafunzoni........nawambia itafika siku Polisi na Majeshi watapigana risasi wenyewe kwa kupinga mauaji ya raia wanaotaka kuikomboa nchi hii.......Arusha juzi imetokea, siri kubwa imefichwa ndugu zangu........Nchi sasa si salama na Usalama wa Taifa nusu yao wanataka mabadiliko......Hivi mishahara ya polisi ya 120,000 maisha ya leo wakati IGP na makamishna wenzie wanalipwa mishahara minono, CDF, wakurugenzi na waandamizi TISS na majeshi mengine wanalipwa mishahara na marupurupu manono na rushwa na vibahasha juu.......wakati wafanyakazi wadogo wana wanalipwa 200,000 kwa TISS na 120,000 kwa Polisi hivi maisha ya leo kweli wataunga mkono CCM? Halafu viongozi wanaona wapo salama kwa ulinzi wa watu wenye njaa wanaoponea viposho vya safari ambavyo wakistaafu haviwasaidii kujipatia fedha ya kustaafu inayotosha walau miaka miwili ya maisha ya kustaafu? Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ujue nchi hii ikiangukia katika matatizo utabeba lawama kubwa kuwa hukutekeleza wajibu wako......Je hamusemi, hamreport au bado tuna usalama wa kizamani wa kulinda maslahi ya Chama na watu badala ya maslahi ya nchi? Acha legacy Tanzania ukumbukwe kama akina Mzema wailiokuwa wanawakata mafisadi na kuwafunga vitambaa usoni na kuwaficha ili wasiendelee kusumbua na kuharibu ama kuhujumu Taifa......nyie mpompo tu......watu wanafanya watakavyo.....Maafisa wengi wanaishi maisha ya shida.....Nchi hii sasa si salama kama unaendelea kukaa kimya ipo siku kama utasoma hii post utaikumbuka..........nakwambia karibu nusu ya Maafisa wako wamechoshwa na hali hii.......wanareport hamchukui hatua kwa nini msimweleze Raisi kuwa atekeleze maagizo yenu kama hataki msusieni nchi kama atajiongoza maana pamoja na kiburi cha viongozi bado tegemeo lipo kwenu, juzi anawambia hatalipa Dowans, leo anageuka kuwa atalipa anawadanganya, nyie mmekuwa watoto? Nimeandika kwa uchungu kama Mzalendo, na mnisamehe kwa kuandika post kubwa inaweza wachosha kusoma lakini mfahamu hii ni nchi yetu, tunataka mstakabari wenye taathira njema kwa vizazi vijzvyo.......Nimesema hata yale ambayo pengine hayakustahiri sana lakini nataka wakuu wa vyombo vya dola wafahamu kuwa nchi hailindwi na vifaru ni amani inayojengwa na uzalendo wa viongozi ambao huwa ni mwelekeo wa wananchi, Tunisia huwezi linganisha na sisi lakini wameshindwa kupeleka vifaru mtaani Raisi akakimbia, hatutaki yatokee hapa kwetu, lakini kama hizo kazi mmezomea mfahamu kuwa yakija haribika hamtazima, mtakuwa mmechelewa.......mtabeba lawama, ujueni ukweli wa Arusha siri hii mnayo, nimesema mno
 
Hongera,hata ungeandika kurasa kumi tungesoma mpaka nucta ya mwisho,nyinyi hasa ndio niokuwa nawataka kama nilivyoandika Mwisho naomba watanzania wote kwa ujumla wetu tukatae nchi yetu kufanywa tambara la deki,tuna mali nyingi sana za kila aina watawala wasifanye ni zao pekee,viongozi wasio waadilifu tuwaseme hadharani na kama hawasikii tuwapinge kwa maandamano,tusipo jitolea leo,hakuna tanzania ya kesho, kufa kwa ajili nchi yetu ni tunu kwa watoto wetu na taifa letu,mungu ibariki tanzania wabariki pia na watu wake.

Songambele tutashinda tu.
 
huyo hiza elimu yake ikoje hebu mwenje CV yake atupatie.inawezekana elimu yake ni yakuungwa na gundi.
 
Tambwe Hiza si mtu ambaye CCM ingempatia cheo kama hicho, mtu wa propaganda si kufanya kazi ya uropokaji........Makamba hana uwezo mkubwa kuongoza chama hicho kielimu na utashi na amekuwa akikumbatia mambumbu kama akina hiza kwani anaogopa challenges kutoka kwa wenye upeo mkubwa.. Ndugu zangu hali ya kisiasa pale Lumumba si nzuri, watu wananuniana...wanafitiniana....hawasalimiani......Na makamba hata katika mchakato wa Chama mwaka jana alipokea fedha sana kwa wagombea hata wachafu kama kinyesi.... Pale Morogoro kwake alimweka mtoto wake mmoja ndo alikuwa anapokea fedha za rushwa na nasikia kwa kuwa JEYKEY naye anamsikiliza huyu jamaa sijui ni kwa nini lakini inasememekana hata ukuu wa Wilaya na ukuu wa mikoa watu wanapeleka fedha kwa Makamba ili amshawishi Kikwete awateuwe na wengi ni walewaleeeeee ambao hata hawajui la kwenda kufanya.

Ukweli lazima mabadiliko kwa ukombozi wa Taifa hili, tutajutia kwa haya......Mungu atupe nguvu tujitambue....Hata wale majuha walipo humu wanaotumiwa na mafisi wenzao kutafuna nchi yetu tusipoteze muda kulumbana nao wengine ni hao akina RZ1, EL nk ama wafuasi wao......Mabadiliko katika nchi hii ni lazima kama mtu unaitakia mema nchi hii na naamini yanakuja na katika historia ya tanzania kuna watu baada ya uchaguzi wa 2015 watapelekwa the Hague namsii IGP na DGTISS wajue wao ndo watakuwa wakwanza kwani CCM kwa hali ilivyo haitashinda na CCM chini ya rais anayemaliza kipindi chake atataka ailinde CCM isipotee mikononi mwake kama KANU na kwa hivo basi atachakachua vibaya sana na watu wahatakubali wataingia barabarani, wao watatuma FFU na vifaru mtaani kuuwa kama ARUSHA na hapo ndo cha moto watakiona......Tunahitaji taathira njema katika nchi hii.......tunahitaji Tanzania yenye ustawi kwa vizazi vijavyo........Tunahitaji kuutafuta sasa Uhuru wa kweli katikanchi hii....Hii inawezekana kwani nataka niwambie ukijua hata ile siri ya ARUSHA na ukipita katika makambi ya majeshi ukayasikia wanayoyasema na mikakati iliyopo kuunga mkono mabadiliko, inatia moyo kuwa mabadiliko yanakuja........kwa taarifa yenu hata pale ARUSHA polisi walikufa hasa makuruta na Polisi wakatoa taarifa kuwa wamekufa mafunzoni........nawambia itafika siku Polisi na Majeshi watapigana risasi wenyewe kwa kupinga mauaji ya raia wanaotaka kuikomboa nchi hii.......Arusha juzi imetokea, siri kubwa imefichwa ndugu zangu........Nchi sasa si salama na Usalama wa Taifa nusu yao wanataka mabadiliko......Hivi mishahara ya polisi ya 120,000 maisha ya leo wakati IGP na makamishna wenzie wanalipwa mishahara minono, CDF, wakurugenzi na waandamizi TISS na majeshi mengine wanalipwa mishahara na marupurupu manono na rushwa na vibahasha juu.......wakati wafanyakazi wadogo wana wanalipwa 200,000 kwa TISS na 120,000 kwa Polisi hivi maisha ya leo kweli wataunga mkono CCM? Halafu viongozi wanaona wapo salama kwa ulinzi wa watu wenye njaa wanaoponea viposho vya safari ambavyo wakistaafu haviwasaidii kujipatia fedha ya kustaafu inayotosha walau miaka miwili ya maisha ya kustaafu? Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ujue nchi hii ikiangukia katika matatizo utabeba lawama kubwa kuwa hukutekeleza wajibu wako......Je hamusemi, hamreport au bado tuna usalama wa kizamani wa kulinda maslahi ya Chama na watu badala ya maslahi ya nchi? Acha legacy Tanzania ukumbukwe kama akina Mzema wailiokuwa wanawakata mafisadi na kuwafunga vitambaa usoni na kuwaficha ili wasiendelee kusumbua na kuharibu ama kuhujumu Taifa......nyie mpompo tu......watu wanafanya watakavyo.....Maafisa wengi wanaishi maisha ya shida.....Nchi hii sasa si salama kama unaendelea kukaa kimya ipo siku kama utasoma hii post utaikumbuka..........nakwambia karibu nusu ya Maafisa wako wamechoshwa na hali hii.......wanareport hamchukui hatua kwa nini msimweleze Raisi kuwa atekeleze maagizo yenu kama hataki msusieni nchi kama atajiongoza maana pamoja na kiburi cha viongozi bado tegemeo lipo kwenu, juzi anawambia hatalipa Dowans, leo anageuka kuwa atalipa anawadanganya, nyie mmekuwa watoto? Nimeandika kwa uchungu kama Mzalendo, na mnisamehe kwa kuandika post kubwa inaweza wachosha kusoma lakini mfahamu hii ni nchi yetu, tunataka mstakabari wenye taathira njema kwa vizazi vijzvyo.......Nimesema hata yale ambayo pengine hayakustahiri sana lakini nataka wakuu wa vyombo vya dola wafahamu kuwa nchi hailindwi na vifaru ni amani inayojengwa na uzalendo wa viongozi ambao huwa ni mwelekeo wa wananchi, Tunisia huwezi linganisha na sisi lakini wameshindwa kupeleka vifaru mtaani Raisi akakimbia, hatutaki yatokee hapa kwetu, lakini kama hizo kazi mmezomea mfahamu kuwa yakija haribika hamtazima, mtakuwa mmechelewa.......mtabeba lawama, ujueni ukweli wa Arusha siri hii mnayo, nimesema mno

sisi wanaume ambao hatuendi sokoni hatujui ukweli wa bei ya vyakula. Kuna kipindi my wife nilikuwa namshangaa sana. Ukimpa laki 1 siku mbili tatu anakwambia hela hakuna. Kumbe vitu vimepanda wakati mishahara iko palepale. kwanza lazima tujipongeze kwa kwa kufanikiwa kuwagawa ccm.tumewagawa wakubwa na wadogo lakini pia wakubwa pia wamegawanyika
 
Back
Top Bottom