TUONGEE ASUBUHI: TV Live interaction on Star TV Yazinduliwa Rasmi

Sielewi tatizo la simu watalitatuaje. Nina mwaka mzima najaribu kuwapigia wakiwa "live" nichangie sijawahi kufaulu. Suala jingine ni kuhoji watu walewale karibu kila wiki hasa Jumapili.

Yahya, tuambie na sisi wengine tutawezaje kuwa washiriki kwenye studio zenu "live" hasa Jumapili kunapokuwa na mada nzuri sana za SIASA.
 
Unatafuta matatizo ee?haya,we endelea tu.hayo mambo sisi tunaogopa hata kuyataja mkuu.
 
serikali ipo likizo,inacheza na maisha ya wananchi wake.kila kitu ni ufisadi hadi katika huduma muhimu kama hizi za dawa zinazomgusa kila mtu moja kwa moja.
 
Yahya,
Kwa nini Tv yenu mmejitoa kwenye ving'amuzi vya StarTimes na TING? Najua hili linaweza kuwa juu yako wewe lakini mfikishie ujumbe huu hata Diallo mwenyewe. Watazamaji wenu hatujafurahishwa na uamuzi wenu huo ambao umeturudisha kuwatazama kwa taabu kianalogia.

Mnaweza kuwa mna mipango mizuri huko mbeleni lakini hiyo isingewaondoa kwenye ving'amuzi hivi ambavyo wengi wetu hapa tunavyo sasa. Sisi tunawaona wamiliki wenu na ITV kama wabinafsi sana. mnataka mjisikilize na kujitazama wenyewe?
 
Thanks Max Now am Live...Pia nikushukuru GR...This is power of Social Forum

Kaza msuri kaka Yahaya, nakukubali sana na maada zako hapo Start TV, we hauko bias, unaulizaga maswali yalioenda shule, wewe pamoja na Dotto pamoja na ile squared ya Dar, but yule boss wenu yule nani sijui, ambaye alikuwa mwalim before, anakijipara fulani hivi na siku ya kuukaribisha mwaka mpya alikuwa MC yeye pamoja na kale kabinti kalembo sana kaliko soma taarifa ya habari jana usiku, Haa, yule ana bore sana, mtumie salam bwana, anyway, inawezekan akawa magamba yule.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom