Tuongee asubuhi star tv live sasa hivi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
wadau leo ndugu yetu Yahya mohamed,hayupo ili kutuunganisha wana JF na kipindi moja kwa moja,kipindi kinaendelea .jicho letu ndani ya habari.
Mojawapo wa wageni waalikwa ni Dk kitimbo wa SAUT,hoja ni upotevu wa mabilioni uliogunduliwa wizara ya maliasaili na kamati ya bunge hivi karibuni.
 
Wananchi tumelala sana. Hawa wananchi wanaodanganywa kwa pilau, fulana, kofia, pombe, kutegemea wataweza kuiadabisha serikali ni ndoto. Uozo upo kila mahali siyo maliasili tu. Watanzania tutoe tongotongo tusiwaachie wabunge, mawaziri, n.k. wafanye wanavyotaka.
 
Kuna mchezo mwingine ulifanyika kienyeji na mpaka sasa bado haufuatiliwi,Bank ya Exim bank ilipewa zabuni ya ukusanyaji wa malipo yote ya fedha za kigeni zitokanazo na viingilio katika mbuga zetu za wanyama.
Na hili lilifanyika wakati serikali ikiwa mpaka sasa haijatimiza ahadi ya kututajia mmiliki rasmi wa benki hiyo.kama ilvyoombwa na wabunge katika kikao kimojawapo cna bunge.
 
Back
Top Bottom