Tuongee asubuhi na star tv

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Tunaomba mtujibu maswali yatakayouliza hapa na wanajamvi.

Maswali.

1. Pamoja na baadhi ya wanahabari kuwa na mapungufu,je hii tabia ya wanahabari huru kukamatwa kwa uchochezi ni jambo la kufungiwa macho na vyombo husika?

2. Je wanaoelimisha wananchi,na kuishia kupewa kesi za uchochezi,serikal wangependa waandike nini ili wasilete uchochezi?
 
kwa hali ya nchi ilivyo inaonekana dhahiri wanahabari wamekuwa watumwa kwa wanasiasa.je wanazungumziaje ili?
 
Back
Top Bottom