Kahise
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 379
- 435
Kuna mahali nilisoma kuwa MV Liemba is the oldest ocean going sea vessel today. Ninachosikia ni kwamba Wajerumani wanaihitaji hiyo meli irudi kwao. Walikwishafikia uongozi wa mkoa wa Kigoma. Kwa sababu sikuwa nimehudhuria kikao hicho, nasikia tu kwamba uongozi wa Kigoma ulitaka kuwapatia hiyo meli, in exchange na kujengekewa chuo kikuu cha Kigoma.
Kwa ufupi meli bado ni nzuri sana na miaka ya 1985 -1987 meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa na gadgets za kisasa kwenye vyumba vyake. It it our pride. Iendelee kutwanga kazi, tunaipenda.
Kwa ufupi meli bado ni nzuri sana na miaka ya 1985 -1987 meli ilifanyiwa ukarabati mkubwa na gadgets za kisasa kwenye vyumba vyake. It it our pride. Iendelee kutwanga kazi, tunaipenda.