Tunu Pinda kamuuliza Mh. Mizengo Pinda swali kwenye mkutano wa hadhara

nimeona maajabu sana. Katika ziara za waziri mkuu wa tanzania kanda ya ziwa kaambatana na mkewe. Baada ya kuona raia hawamuelewi waziri mkuu, tunu pinda ikabidi aulize swali kwa niaba ya wakazi wa sehemu husika.
aliuliza;
sisi wanawake wa hapa tunapata tabu sana katika kuchota maji hadi nywele za katikati hazikui sababu ya kujitwisha chungu, je serikali itatusaidiaje?.
Waziri akajibu;
nimeambiwa zinahitajika mil 200 kuondokana na tatizo, hizo mil 200 nitawapeni bila tatizo.
*hii imekaaje?. Mia
usanii tu huo ili wananchi wadhani anawajali kumbe chenga tu.
 
Nimeona maajabu sana. Katika ziara za Waziri mkuu wa Tanzania kanda ya ziwa kaambatana na mkewe. Baada ya kuona Raia hawamuelewi waziri mkuu, Tunu Pinda ikabidi aulize swali kwa niaba ya wakazi wa sehemu husika.
Aliuliza;
Sisi wanawake wa hapa tunapata tabu sana katika kuchota maji hadi nywele za katikati hazikui sababu ya kujitwisha chungu, je serikali itatusaidiaje?.
Waziri akajibu;
Nimeambiwa zinahitajika mil 200 kuondokana na tatizo, hizo mil 200 nitawapeni bila tatizo.
Hii imekaaje?. mia

family business..muuliza swali ndiye mjibu swali..hii inaweza kutokea Tanzania tu, si kwingineko
 
Hii ndio hasara ya kuwa na Wabunge wanaotanguliza maslahi ya Chama chao mbele. Wakiwa bungeni wanashindana kuwa wasemaji wa serikali kiasi kwamba huwezi kutofautisha Mbunge na waziri. Dawa ya haya yote ni katiba mpya, hakuna Mbunge atakayekuwa waziri ili waache kujikomba kwa Rais.
 
Zaidi ya magari mia na..............Mungu wangu! Si yeye aliyeingia na gia ya kupunguza matumizi???
Au ndio kadhani tusha sahau?Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Yaani hakuna familia ya wasanii kama ya pinda..eti juzi kashtushwa na umasikini ukerewe..huyu mzee mzima kweli huyu
 
Alimuandaa ili aulize hilo swali!! Fedha za miradi ya maji kutoka kwa wafadhili ndio wanagawana kinyemela na kufanyia propaganda za kisiasa!!!

Wakati mwingine propaganda zinasaidia, sijaona kosa hapo. big up Mama Pinda, wamama wote mshikamane.
 
kujitekenya mwenyewe,kujichekesha mwenyewe, wapi LISSU,endelea kuwapakaza hawa jamaa pili pili,wao wenyewe wataisambaza machoni...
 
huyo mh.pinda simuelewi ana ajenda gani na ziara za kanda ya ziwa kule kanda ya kaskazini pemba hafiki
 
kuna ubaya gani kwa mwanamke kuwaulizia maswali wanawake wenziwe? Gwanda mkikosa la kusema nyamazeni; maji haya hayawanufaishi wanaccm tu ni kwa watanzania wote; au ndio tuseme mnataka kuendeleza sera za uongo ili kesho muende sehemu husika mdai serikali haiwajali wananchi wake?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
bonge la movie ambalo starling pinda kaamua kulichezea Mwanza , huku akizurura na cameramen kutoka wilaya moja had nyingne.
 
Back
Top Bottom