Tungepata mrejesho wa budget iliopita kwanza kabla ya kujadili mpya

mikonomiwili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
273
50
Kila mwaka serikali imekua ikitoa budget na inakua inapitishwa na bunge. Lakini maranyingi kume kua hakuna utekelezaji .

Nawatu wameenda mbali wakisema budget maranyingi inakua ni yakinataria zaidi hakuna utekelezaji wavitendo. na hapo ndo panapokuana mwanya wa watukutumia fetha kamatumizi ambayo hayakupangwa kwenye budget

so ningeshauri kuwa namfumo wakueleza waTazania kua katika budget ilio pita tumefanikiwa kwakiwango gani niwapi tume kwama na ningapi zimeibiwa na baada yahapo tujue sasa paletuliposhidwa mwaka jana tunapaongeza vipi.

lakini hiikilamwaka kuongeza bei zavinyaji na sigara haita tusaidia vyovyote ,Tunapaswa kuwe na ubunifu kunasehemu kubwa zakuwezapata vipato vingine bilakutegemea pombe sana. Tuna madini mengi mengine hata hayapatikani sehemu nyingine duniani. Tuna bahari kubwa sana tuna maziwa mengi Lakini ubunifu hakuna

mimi ningeshauri bunge linge kaa kuhoji kipengele kwakipengele ilebudgeti ya mwakajana imetusaidia vipi.
naamini asilimia kubwa ya wananchi hawajui budget inawasaidia nini zaidi yakuonavitu vinapanda bei

nimaoni yangu
 
hili lina maana sana utekelezaji wa bajeti iliyopita unapaswa utazamwe ili kuona kama tunafikia malengo tuliojiwekea na kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom