driller
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 1,116
- 240
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:
mwacheni millad afungue njia kwa vilaza tupate pa kuhit sikua ya nanihino nini hiiii aaah nimesahau.....