Tungekuwa na wasichana dizain hii mapenz yangefika next level kusema kweli.

Mara nyingi kuna vitu sita ambavyo mtu huangalia katika kuchagua mume/mke. BAHATI MBAYA PENZI LINA UWEZO WA KUFOWADI AU KUDILITI VITU HIVYO na ukajikva umeingia kwenye ndoa bila kuvitafakari. Vitu hivyo ni A, B, C, D, E na F. A = Age ya mwenza ukilinganisha yako, B = body stracture ya mwenza, C =Characteristics zenu, D = decipline, E = education level zenu, F = family background zenu.
 
Definition for infatuation:?
a foolish and usually extravagant passion or love or admiration.

?S: (n) infatuation (a foolish and usually extravagant passion or love or admiration)

S: (n) puppy love, calf love, crush, infatuation (temporary love of an adolescent)

S: (n) infatuation (an object of extravagant short-lived passion) ?

??

?


Infatuation

For other uses, see Infatuation (disambiguation).

Relationships

Types

Family*· Kinship
Siblings*· Cousin
Marriage
Husband*· Wife

Friendship (romantic)
Significant other
Boyfriend*· Girlfriend

Casual*· Cohabitation
Same-sex relationship
Sexual partner

Monogamy*· Non-monogamy
Open marriage*· Polyamory
Polyfidelity*· Polygamy

Cicisbeo*· Concubinage
Courtesan*· Mistress

Activities

Bonding*· Courtship
Dating*· Mating
Meet market*· Romance
Singles event*· Wedding

Ending of

Breakup*· Divorce
Separation*· Widowhood

Emotions

Affinity*· Attachment
Compersion*· Intimacy
Jealousy*· Limerence
Love*· Passion
Platonic love
Unconditional love

Human practices

Bride price (Dower*· Dowry)
Hypergamy*· Infidelity
Sexual activity*· Transgression

Abuse

Child*· Dating
Domestic*· Elderly

v*·*d*·*e

Infatuation is the state of being completely carried away by unreasoned passion or love: 'expresses the headlong libidinal attraction'[1] of addictive love. Usually, one is inspired with an intense but short-lived passion or admiration for someone.

Characteristics

Because in common parlance, 'infatuation is extravagant or foolish love, an infatuated person, quite commonly, is someone who in over-valuing the beloved has mistaken beliefs concerning her or him'.[2] Some consider that 'perhaps infatuation can only be distinguished from romantic love in retrospect...others suggest that infatuation may be the first step towards love...can grow into a more mature love'[3] - marks the first stage of a relationship before 'a bumpy, but nonetheless inevitable, transition from romantic infatuation to mature intimacy'.[4] In such a view, 'lovers begin as prolifically inventive, producing enthralling illusions about each other...only to be disappointed into truth'.[5]

In the case of infatuation, there is usually an obsessor and an object of desire, who may or may not be attainable. In its "pure" state, infatuation is characterized by unrealistic expectations of blissful passion without positive relationship growth or development, and by a lack of the trust, loyalty, commitment, and reciprocity found in maturer love.


'It is customary to view young people's dating relationships and first relationships as puppy love or infatuation';[6] and if infatuation is both an early stage in a deepening sequence of love/attachment, and at the same time a potential stopping point, it is perhaps no surprise that it is a condition especially prevalent in the first, youthful explorations of the world of relationships. Thus 'the first passionate adoration of a youth for a celebrated actress whom he regards as far above him, to whom he scarcely dares lift his bashful eyes'[7] may be seen as part of an 'infatuation with celebrity especially perilous with the young'.[8

Source:wikipedia

Bullshit next usi copy na kupaste sawa??coz sisi wengine tunatumia simu tunapata tabu kama page inakuwa ndefu,pia weka link tu then tutaenda huko kwenye wikipedia...mawazo yangu tu
 
khaaa! hii kweli wanawake na maendeleo ................millard usilaze damu kale mchina huyo wala usisite
 
Bullshit next usi copy na kupaste sawa??coz sisi wengine tunatumia simu tunapata tabu kama page inakuwa ndefu,pia weka link tu then tutaenda huko kwenye wikipedia...mawazo yangu tu
Hivi hilo neno...BULLSHIT ndo limebeba ujumbe uliotaka kuutoa?
 
Eti mpaka ananikopia definition wapi sijui wakati sijamwambia sijaelewa maana.

Ungeelewa usinge bisha,hacha kubisha bisha najua unakasirika coz zinakugusa,usijali kwa kua ushajua condition hyo ikikupata utajua jinsi ya kuihandle na wataalamu wanasema ni temporary tu.....
 
Bullshit next usi copy na kupaste sawa??coz sisi wengine tunatumia simu tunapata tabu kama page inakuwa ndefu,pia weka link tu then tutaenda huko kwenye wikipedia...mawazo yangu tu

Hata mie natumia cm,katika kucopy link ndo imecopy context yote usijari lakin nikiwa kwenye pc nitaedit vizuri nipo porini uku..Thanx thou kwa ushauri
 
Mmenikumbusha enzi zile nilipokua nadhani kuna siku nitamuoa toni braxton.
 
khaaa! hii kweli wanawake na maendeleo ................millard usilaze damu kale mchina huyo wala usisite

Hakajitambui hako kademu, utakuta hapo hapo kapo in love with Justin Bieber, hahahaha infatuation mchezo unadhani? Unampenda celebrity unaemuona katika TV tu sio mchezo
 
Mmenikumbusha enzi zile nilipokua nadhani kuna siku nitamuoa toni braxton.

Hako kademu katakuja baadae kubaini kuwa kumbe mpenzi wake wa ukweli ni yule muuza mitumba anaekauziaga vipedo pale mwenge
 
Ungeelewa usinge bisha,hacha kubisha bisha najua unakasirika coz zinakugusa,usijali kwa kua ushajua condition hyo ikikupata utajua jinsi ya kuihandle na wataalamu wanasema ni temporary tu.....

Eti ehhh?
Sasa ungeniuliza kama nisingekupa maana badala ya kwenda kukopi google. But again, uelewa wetu unatofautiana right!!!
 
Kwa mawazo yangu huyu bidada si mtoto na anadanganya anaposema hajaanza mapenzi, wakati huohuo anasema anataka ajue kama jamaa ana mpenzi ili na yeye 'ajaribu mbinu zake ampate' Lugha aliyotumia kwenye message yake inamuumbua! Ni mzoefu huyu. Hiyo kuwa hajaanza mapenzi ni chambo hicho. Jamaa akifanya kosa hapa atashikishwa kitu cha kichina akome.
 
When will you people learn not to genaralise things?Kama na wewe ulikua foolish at that age haina maana kila mtu ali/anafuata nyayo zenu. Na uzoefu ni swala binafsi ambalo kila mtu anapata kwa wakati tofauti, hamna ratiba ambayo wote tunafuata.

Na kuhusu huyo binti kujisifia ni mzuri, haina maana sio mzuri.Mtu humjui unathubutu vipi kusema si mzuri? Au ndio basi tu, kazi yako kukatisha tamaa hata usiowafahamu?

nawe liz una illusion?
 
Back
Top Bottom