Tungekuwa na wasichana dizain hii mapenz yangefika next level kusema kweli.

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:
 
Katika maelezo yooote uliyoyatoa hapo mimi nimezingatia '21years'. Kwa umri huo, she is more foolish than in love. Kwanza anaamini yeye ni mzuri (1st mistake) si mzuri, ni mrembo na urembo wa mwanamke hauwapendezi wanaume wote kwa kigezo sawa. Pili, kavutiwa na mwanaume ambaye hamjui lkn tayari ameshafikiria hata kuolewa naye. What if the man is so lazy in his real life out of studio?

Namsamehe bure kwa kuwa anaongelea kitu ambacho hana uzoefu nacho. Tusichana twooote twa umri huo huwaza namna hiyo, sasa nashangaa wewe kuona huyu ni exceptional. Ngoja akubuhu halafu uniambie kama atakuwa na tofauti na hawa wengine walioshindikana.
 
Ha ha ha, mwacheniafuate infatuation zake. Bora uchanwechanwe kwenye makaratasi na mtu ambaye anakurusha roho hata mkikutana uzeeni mtakuwa mnapiga mechi za majaribio lakini haya mabazazi ya mjini utakuwa unajishangaa alinibaka au niliconsent mwenyewe.

Let the girl be and let Millard discover her.
 
Katika maelezo yooote uliyoyatoa hapo mimi nimezingatia '21years'. Kwa umri huo, she is more foolish than in love. Kwanza anaamini yeye ni mzuri (1st mistake) si mzuri, ni mrembo na urembo wa mwanamke hauwapendezi wanaume wote kwa kigezo sawa. Pili, kavutiwa na mwanaume ambaye hamjui lkn tayari ameshafikiria hata kuolewa naye. What if the man is so lazy in his real life out of studio?

Namsamehe bure kwa kuwa anaongelea kitu ambacho hana uzoefu nacho. Tusichana twooote twa umri huo huwaza namna hiyo, sasa nashangaa wewe kuona huyu ni exceptional. Ngoja akubuhu halafu uniambie kama atakuwa na tofauti na hawa wengine walioshindikana.
When will you people learn not to genaralise things?Kama na wewe ulikua foolish at that age haina maana kila mtu ali/anafuata nyayo zenu. Na uzoefu ni swala binafsi ambalo kila mtu anapata kwa wakati tofauti, hamna ratiba ambayo wote tunafuata.

Na kuhusu huyo binti kujisifia ni mzuri, haina maana sio mzuri.Mtu humjui unathubutu vipi kusema si mzuri? Au ndio basi tu, kazi yako kukatisha tamaa hata usiowafahamu?
 
Afu wewe foolish age inakupeleka kubaya maana umekuwa mbishi kweli, aliye kuambia mzuri nani? Au ndo huyu TF anakudanganya. Duh, kume siko kwenye udaku

Na kuhusu huyo binti kujisifia ni mzuri, haina maana sio mzuri.Mtu humjui unathubutu vipi kusema si mzuri? Au ndio basi tu, kazi yako kukatisha tamaa hata usiowafahamu?
 
Woote (may be) tulianza na kuona n then yu follow your heart.......sometimes poa unapata what yu expect n sometimes chaka unaingia.

But cha kumshauri ni kuwa ni hatari sana kupenda kwa moyo kama afanyavyo yeye bila kushirikisha upstairs "the what if not session.....".....secondly mume au mke hapimwi kwa uzao unaoutarajia kutoka kwake eti bcoz ni gud luking.....huyu ni exepected lifetime partner hauzwi au kupambwa kwenye showcase ili kupendezesha.....maisha ya ndoa ni zaidi ya muonekano wa mwenza wako

Tuendelee kuwapa uhalisia wa maisha ya ndoa kila tunapokutana nao hawa youngsters ili kupata warithi wa generation yetu (we might not be the best....but atleast aware and conscious enough to decide......)
 
THANK you.!
 
When will you people learn not to genaralise things?Kama na wewe ulikua foolish at that age haina maana kila mtu ali/anafuata nyayo zenu. Na uzoefu ni swala binafsi ambalo kila mtu anapata kwa wakati tofauti, hamna ratiba ambayo wote tunafuata.

Na kuhusu huyo binti kujisifia ni mzuri, haina maana sio mzuri.Mtu humjui unathubutu vipi kusema si mzuri? Au ndio basi tu, kazi yako kukatisha tamaa hata usiowafahamu?

Definition for infatuation:⁠
a foolish and usually extravagant passion or love or admiration.

S: (n) infatuation (a foolish and usually extravagant passion or love or admiration)

S: (n) puppy love, calf love, crush, infatuation (temporary love of an adolescent)

S: (n) infatuation (an object of extravagant short-lived passion) 

Infatuation

For other uses, see Infatuation (disambiguation).

Relationships

Types

Family*· Kinship
Siblings*· Cousin
Marriage
Husband*· Wife

Friendship (romantic)
Significant other
Boyfriend*· Girlfriend

Casual*· Cohabitation
Same-sex relationship
Sexual partner

Monogamy*· Non-monogamy
Open marriage*· Polyamory
Polyfidelity*· Polygamy

Cicisbeo*· Concubinage
Courtesan*· Mistress

Activities

Bonding*· Courtship
Dating*· Mating
Meet market*· Romance
Singles event*· Wedding

Ending of

Breakup*· Divorce
Separation*· Widowhood

Emotions

Affinity*· Attachment
Compersion*· Intimacy
Jealousy*· Limerence
Love*· Passion
Platonic love
Unconditional love

Human practices

Bride price (Dower*· Dowry)
Hypergamy*· Infidelity
Sexual activity*· Transgression

Abuse

Child*· Dating
Domestic*· Elderly

v*·*d*·*e

Infatuation is the state of being completely carried away by unreasoned passion or love: 'expresses the headlong libidinal attraction'[1] of addictive love. Usually, one is inspired with an intense but short-lived passion or admiration for someone.

Characteristics

Because in common parlance, 'infatuation is extravagant or foolish love, an infatuated person, quite commonly, is someone who in over-valuing the beloved has mistaken beliefs concerning her or him'.[2] Some consider that 'perhaps infatuation can only be distinguished from romantic love in retrospect...others suggest that infatuation may be the first step towards love...can grow into a more mature love'[3] - marks the first stage of a relationship before 'a bumpy, but nonetheless inevitable, transition from romantic infatuation to mature intimacy'.[4] In such a view, 'lovers begin as prolifically inventive, producing enthralling illusions about each other...only to be disappointed into truth'.[5]

In the case of infatuation, there is usually an obsessor and an object of desire, who may or may not be attainable. In its "pure" state, infatuation is characterized by unrealistic expectations of blissful passion without positive relationship growth or development, and by a lack of the trust, loyalty, commitment, and reciprocity found in maturer love.

'It is customary to view young people's dating relationships and first relationships as puppy love or infatuation';[6] and if infatuation is both an early stage in a deepening sequence of love/attachment, and at the same time a potential stopping point, it is perhaps no surprise that it is a condition especially prevalent in the first, youthful explorations of the world of relationships. Thus 'the first passionate adoration of a youth for a celebrated actress whom he regards as far above him, to whom he scarcely dares lift his bashful eyes'[7] may be seen as part of an 'infatuation with celebrity especially perilous with the young'.[8

Source:wikipedia
 
When will you people learn not to genaralise things?Kama na wewe ulikua foolish at that age haina maana kila mtu ali/anafuata nyayo zenu. Na uzoefu ni swala binafsi ambalo kila mtu anapata kwa wakati tofauti, hamna ratiba ambayo wote tunafuata.

Na kuhusu huyo binti kujisifia ni mzuri, haina maana sio mzuri.Mtu humjui unathubutu vipi kusema si mzuri? Au ndio basi tu, kazi yako kukatisha tamaa hata usiowafahamu?

Yaelekea na wewe upo kwenye age hiyo hiyo. Na kwa the way feminine brain inafanya kazi huwezi kunielewa hadi udhamirie kunielewa. Kila msichana at this age hujiona exceptional na huamini wenzake wanaolia walikosea kwa ujinga wao. Infatuation(ghururi) haiwaathiri wanawake peke yao kwa hiyo huna haja ya kutengeneza jazba bila sababu. At certain age of our lives, regardless of our sex we enter foolish age. Ni kawaida ya mwanaume wa 24 - 28/29 kuwa na mawazo ya hako kasichana. Kila binti unayemuona unaamini huyo ndio hasa anayekufaa.

Nikirudi kwa huyu shoga yako wa Millard, kwa sasa moyo wake unafanya kazi ya ubongo. Na hii ndio maana hasa ya foolish age kwa upande wa mapenzi. Amevutiwa na kitu kimoja, moyo wake unamuongoza kupaka rangi na kutia nakshi ambazo baadaye hatoziona. Na ikiwa huyo binti ni wewe (manake yawezekana wewe ndio victim mwenyewe) kaa ukijua kuwa mahusiano ya kudumu hayaletwi na sura wala kucha.

Kwa akili hizi Lizzy ndio mnajikuta mmeolewa na masharobaro halafu mnaanza kutuletea mada za kuomba ushauri hapa "mume wangu mvivu" "boy friend wangu hawapendi ndugu zangu" kumbe haya yoote hukuyafikiria mwanzoni sababu ya kuwaza unachokiona bila kufikiria unachohitaji.

Endelea kubisha Under 25
 
Woote (may be) tulianza na kuona n then yu follow your heart.......sometimes poa unapata what yu expect n sometimes chaka unaingia.

But cha kumshauri ni kuwa ni hatari sana kupenda kwa moyo kama afanyavyo yeye bila kushirikisha upstairs "the what if not session.....".....secondly mume au mke hapimwi kwa uzao unaoutarajia kutoka kwake eti bcoz ni gud luking.....huyu ni exepected lifetime partner hauzwi au kupambwa kwenye showcase ili kupendezesha.....maisha ya ndoa ni zaidi ya muonekano wa mwenza wako

Tuendelee kuwapa uhalisia wa maisha ya ndoa kila tunapokutana nao hawa youngsters ili kupata warithi wa generation yetu (we might not be the best....but atleast aware and conscious enough to decide......)

Well presented....nimeipenda zaidi hiyo sentensi hapo "maisha ya ndoa ni zaidi ya muonekano wa mwenza wako"
 
Hapa bi mdada mmoja akimwomba Dina Marios amsetie kwa millard Ayo endelea ujioneee
"Da Dina kwanza naomba radhi kuwa huenda nayoandika sio mahali pake, pili naomba kuuliza na unisaidie mie ni msichana mrembo tu nami najijua. Kiukweli nampenda sana MILLARD AYO natamani awe mume wangu hata dakika hii. nataka kujua km ana mchumba au girlfriend nataka nijue hili ili nami nijaribu mbinu zangu nimpate japo sie wanawake wa KiTZ ni ngumu sana kum-approach mwanaume. nimekuwa
nakosa amani tangu aanze kutangaza ITV i wish ndio angekuwa mwanaume wangu wa kwanza kuniingiza katika dunia nyingine coz
namshukuru Mungu sijaanza kufanya mapenzi mpaka ka umri haka niliko nako (21 years)napata picha ndio anakuwa baba watoto wangu
how handsome watakuwa kama ambavyo alivyo Millard.
Da Dina waweza niona chizi sure I'm real crazy for that boy. Najua ni ngumu kutoa data za mtu but pliz do for me lakini jaribu kuongea nae
kama atakubali utoe data zake akikataa basi tajua nifanyeje. Kazi njema nami nakupenda Da Dina lakini hufikii kwa Millard.
Usinicheke......Kazi njema."kazi kweli kweli, :jitazame:
akikua ataacha....
 
Back
Top Bottom