Tune Kiss FM muda huu kuna dada alikuwa mchawi anajieleza.

Kiss FM kuanzia saa tano na robo asubuhi ya leo, hadi sasa show inaendelea, sasa watu wanauliza maswali

unaweza kuipata toka mwanzo ilivyoanza ukatuwekea hapa......maana ndo tushaichelewa hiyo.....
 
Acheni imani potofu, mpaka leo bado kuna watu wana amani vitu kama hivi, wenzenu wanahangaika kutafuta dawa za magonjwa sugu nyie bado mnawaza uchawi. shule bado sana kwa wengi
 
Acheni imani potofu, mpaka leo bado kuna watu wana amani vitu kama hivi, wenzenu wanahangaika kutafuta dawa za magonjwa sugu nyie bado mnawaza uchawi. shule bado sana kwa wengi

mkuu pamoja hata mimi nashangaa.... huyo dada angekuwa nchi za watu angepelekwa hospitali sababu ni 100% psychic patient ..

Back
Top Bottom