Tunduru m4c

Martin Mwila

Member
Nov 12, 2011
17
1
The was a meeting in tunduru by chadema leadership in the village of masonya on 27/05/2012 about 20 pipo returned ccm cards and they got chadema.

M4c at work
 
Mh! Tunduru?

Kwa nijuavyo hakuna sehemu ngumu kama Tunduru kwa mabadiliko ya kisiasa.

CUF ndicho chama pekee cha upinzani chenye nguvu.

CHADEMA wana diwani mmoja tu. Bwana Kazembe wa kata ya LIGUNGA.

Lakini wana mtaji tayari, kwani ktk kata ile CHADEMA imeigalagaza CCM na CUF mihula mitatu ya uchaguzi mfululizo.

Naifahamu Tunduru kiasi nimewahi kufanya kazi kule miaka ya 2004-2007.
 
Nimekupata kwa shida kutokana na unyofu dhaifu wa lugha. Wakati ujao tumia tu kikwetu haitakuwa mbaya.
 
Mh! Tunduru?

Kwa nijuavyo hakuna sehemu ngumu kama Tunduru kwa mabadiliko ya kisiasa.

CUF ndicho chama pekee cha upinzani chenye nguvu.

CHADEMA wana diwani mmoja tu. Bwana Kazembe wa kata ya LIGUNGA.

Lakini wana mtaji tayari, kwani ktk kata ile CHADEMA imeigalagaza CCM na CUF mihula mitatu ya uchaguzi mfululizo.

Naifahamu Tunduru kiasi nimewahi kufanya kazi kule miaka ya 2004-2007.
Mkuu, nakubaliana na wewe...hata mimi nimewahi hishi Tunduru. Lakini now days wakazi wa Tunduru wamebadilika
sana na wanahitaji mabadiliko haraka sana! ni kweli chama chao kilikua CUF (RIP) lakini baada ya kuona chama chao
kimekufa kwa kufunga ndoa na CCM wakawa hawana chama mbadala zaidi ya Chadema. Let us wait and see.
 
Back
Top Bottom