Tundu, Zitto wasisitiza chadema ni shwari

hayo ni maneno ya kisiasa tu lakini mgogoro upo tu..
tumeona migogoro mingi kwenye serikali za sehemu nyingi nchi mbali mbali..
wanapatana kwa maslai yao binafsi tu ndipo wakija kwetu wananchi wanatudanganya kwa mgongo wa chupa.. sina hakika na wanachokinena. Cha msingi tuombeee mazuri a migogoro isiwepo ili kuwantoa wanaoshikilia nchi kwasasa

Umesema kweli mkuu ndani ya CHADEMA hali si shwari kabisa wasitake kutufanya sie sio wachambuzi wa mambo. Au ndio mambo ya funika kombe shetani apite ? .
 
Umesema kweli mkuu ndani ya CHADEMA hali si shwari kabisa wasitake kutufanya sie sio wachambuzi wa mambo. Au ndio mambo ya funika kombe shetani apite ? .

We Mbayuwayu! Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
 
Ninashangazwa na watu wanodhani kwamba kwenye chama km CHADEMA hakutatokea tofauti na migongano ya kimawazo. Hicho ni kitu cha kawaida kabisa kwenye taasisi km chama. Km CCm kwnyewe tu, ambako kuna nidhamu ya woga ya kupindukia, huwa kunatokea mitafaruku, itakuwa kwenye chama km CDM ambacho kimesheni wasomi, vijana wenye mawazo mapya, na different views za mambo mbalimbali?! CDM siyo CCM, na CDM msilogwe na kuanza kutamani kujiendesha km CCM. Mwenendo wa ki-CCM umepitwa na wakati ndo maana sasa wanalia kwamba hawawavutii vijana. Wanaendesha siasa ki-mwaka 47 wanatagemea kuvutia kizazi kipya so easly?! Hell, NO.
Lazima tutegemee haya yote kutokea. Yanapotokea, dawa ni kukaa pamoja kuyazungumza, mnamaliza tofauti zenu, na kusonga mbele.
 
Ahaaa kumbe zamani ulikuwa CCM!!!
Ulitaka kugombea uwenyekiti wa UVCCM ukaoni fitna si mchezo!
Teh teh teh! Kule kaka hapakufai waachie watoto wa Mafisadi goma nzito kule we huiwezi!
Karibu Chadema wengine ndo tumeanza siasa kupitia CHADEMA na ndo chama changu cha pekee kama zito vile alivyoanza!
 
Wale wanaombea zitto afukuzwe kwenye chama..mmeshabadili muelekeo?

Hapana Afukuzwe tena haraka hiyo ndo adhabu inayomfaa!

Pamoja na mambo mengine i.e. tofauti za kimitazamo............Mh.Zitto amekuwa MWIBA mkali sana kwa Majambazi CCM...............hivyo ni vema CDM wakalijua hilo na wassingie kwenye mitego ya vyombo vya habari............

Mwiba gani! kwa yeye kupingana na kutoshiriki na wenzake katika MTOKO WA KIHISTORIA WA WABUNDE SHUJAA WA CHADEMA BUNGENI

Ninashangazwa na watu wanodhani kwamba kwenye chama km CHADEMA hakutatokea tofauti na migongano ya kimawazo. Hicho ni kitu cha kawaida kabisa kwenye taasisi km chama. Km CCm kwnyewe tu, ambako kuna nidhamu ya woga ya kupindukia, huwa kunatokea mitafaruku, itakuwa kwenye chama km CDM ambacho kimesheni wasomi, vijana wenye mawazo mapya, na different views za mambo mbalimbali?! CDM siyo CCM, na CDM msilogwe na kuanza kutamani kujiendesha km CCM. Mwenendo wa ki-CCM umepitwa na wakati ndo maana sasa wanalia kwamba hawawavutii vijana. Wanaendesha siasa ki-mwaka 47 wanatagemea kuvutia kizazi kipya so easly?! Hell, NO.
Lazima tutegemee haya yote kutokea. Yanapotokea, dawa ni kukaa pamoja kuyazungumza, mnamaliza tofauti zenu, na kusonga mbele.

Naomba kutofautiana na wewe kwenye red na kwingine kote tupo pamoja.
Mpo safarini mpepanda Mtumbwi. Mmoja wenu amebainika ndiye anayetoboa mtumbwi kwa sababu zake binafsi!
Hata kama huwa anapiga makasia kwa bidii, sio wa kukaa nae, kuzungumza.
Hamtomaliza tofauti zenu!
Mumtose tu baharini!
Ndio gharama za usalama wenu!
 
Hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA imeelezwa kwamba ni shwari na hakuna matafaruku utakaotokea.Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni,Tindu Lissu,pamoja na Naibu katibu mkuu wa chadema Zitto kabwe walisema hayo kwa nyakati tofauti walipohojiwa kufuatia hatua ya wabunge wa 10,akiwemo naibu katibu mkuu wake,Zitto Kabwe kutokana na kupingana na msimamo wa chama hicho wa kutoka nje ya bunge wakati Rais Kikwete alipokuwa akihutubia bunge.
“Hakuna mgogoro wowote baina ya viongozi wa chama bali kilichopo ni taratibu za kinidhamu na sio mgogoro wala mgongano wowote”alisema.Akizungumza jana,Lissu alisema hakuna mpasuko,mgogoro wala mgongano wowote ndani ya chama hicho na kwamba kilichopo ni masuala ya kawaida yanayojadiliwa na vikao vya chama na kwamba hayawezi kuvuruga mshikamano uliyopo ndani ya chama hicho.
Kwa upande wake zitto kabwe alisema,hakuna mgogoro wowote ndani ya chama hicho na kwamba taratibu za kinidhamu haziwezi kuitwa mgogoro hata siku moja.Zitto alisema watu wengi wanakesha wakikiombea mabaya chama hicho na wengine kufikia hatua ya kusema uongo kwa nia ya kuleta chokochoko ,na akasisitiza haoni mgogoro wowote na kutaka wanaozusha maneno hayo watofautishe tofauti ya mgogoro na taratibu za kinidhamu.Zitto alisema wakati umefika kwa watanzania kujenga tabia ya kuimarisha vyama na sio kubomoa kama ulivyo sasa ambapo jambo dogo linakuzwa.[Mwananchi,6 Desemba 2010,pp 5]

My take
mungu ibariki Tanganyika.

Unamaanisha Tanzania Bara?
 
Umesema kweli mkuu ndani ya CHADEMA hali si shwari kabisa wasitake kutufanya sie sio wachambuzi wa mambo. Au ndio mambo ya funika kombe shetani apite ? .
Kwa hiyo wewe unaombea mtafaruku uwepo au vipi maana hueleki.
 
Jambo Leo baada ya uchaguzi wamewafukuza watumishi wao karibia wote maana Juma Pinto na kundi lake walitegeshea gazeti lile kuongeza nguvu ya CCM sasa uchaguzi umeisha wana anza mambo yao kama Uhuru
 
Sisi wote tulijua hakuna mgogoro. Yanayotokea ni mambo ya kawaida isipokuwa yanakuzwa na vyombo vya habari na baadhi ya mawakala wao kwa nia ya kuua upinzani. Najua kauli hiyo ya pamoja imewaudhi sana maadui wa upinzani. Bravo Zitto & Lissu

Wale wanaombea zitto afukuzwe kwenye chama..mmeshabadili muelekeo?
Natofautiana na nyie, hata mimi nilikuwa mmoja wa kupiga kelele Zitto atolewe na kama akiendelea bado naamini adhabu yake ndiyo hiyo ingawa si wakati wote kufukuza ndiyo solution lakini tukitazama upande mwingine wa shilingi watu wakianza kuonyesha angalau mwanga bora kuwasikiliza inawezekana ule ulikuwa upepo mbaya na upepo huwa unapita tuwape muda.
 
Wakuu mnaokubali kupumbazwa na gazeti la Mwananchi kuhusu Zitto nawaonea huruma. Pale mwananchi yupo mhariri mmoja aliacha kazi ya Public Relations Tumaini University Iringa. Ni swahiba mkubwa wa Zitto. Upupu wote mliouona na kuusikia kutokea Mwananchi unaomhusu Zitto, mara usikie anajiuzulu mara usikie kaandika barua ya kujiuzulu mara usikie Zitto atofautiana na Mbowe huyo mhariri anashirikiana na Zitto na ni werevu kweli wa kusoma alama za nyakati. Zitto anaelewa kuwa hata mtoto wa darasa la saba hawezi kwenda barabarani kutangaza walivyopishana kauli na babake nyumbani, lenyewe linatoka linaenda TBC linatangaza walivyopiga kura na kulazimisha umma ukubali upuuzi wake wakati anajua kuwa ni utovu wa nidhamu. Mgogoro upo na Zitto ni wa kuangaliwa kama ukoma. Ningekuwa Mbowe saa nyingi kasharuidisha kadi ili ashirikiane vizuri na Kafulila na James Mbatia NCCR MANUNUZI. Shuwaini mkubwa!

Upo tayari kuendeleza mjadala kwa mpangilo huu?

Hivi nani anayemiliki gazeti la Mwanahalisi na ana nyadhifa gani ndani ya Chadema na anaegemea upande ama maslahi gani katika mapambano ya ufisadi wa ndani ya Chadema???
 
Natofautiana na nyie, hata mimi nilikuwa mmoja wa kupiga kelele Zitto atolewe na kama akiendelea bado naamini adhabu yake ndiyo hiyo ingawa si wakati wote kufukuza ndiyo solution lakini tukitazama upande mwingine wa shilingi watu wakianza kuonyesha angalau mwanga bora kuwasikiliza inawezekana ule ulikuwa upepo mbaya na upepo huwa unapita tuwape muda.

Quinine ! Ile sumu ile ukichanganya na chakula unategemea huruma ya Mungu tena hapo? si uzembe wako? Watu wako street washaona kuwa pale sio penyewe. Ukiona wengi wanazungumzia jambo juwa kuna sababu. Lakini mimi nakupa time ya two years.
 
Heko kabwe!Kama hatufahamu tunaweza kuvurugwa na huyu mnyama CUF coz huyu naye ni ka ccm katawi!Katibu wake ni mmoja na ndiye anaekaa kama serikali hawezi kumponda ccm huyo ni kama mgombanishi tusimkubali!
 
Siku zote zito huibuka shujaa. Ni kidume kweli kweli. Hata wanachadema tunaomponda na kutaka afukuzwe ndani ya chama au ikibidi auawe hatumuwezi abadan. Kidume yule. Zidumu fikra za mh. Zito kabwe ndani ya chadema! Mutoto ya kwetu kg. Mwisho wa reli!
 
heko kabwe!kama hatufahamu tunaweza kuvurugwa na huyu mnyama cuf coz huyu naye ni ka ccm katawi!katibu wake ni mmoja na ndiye anaekaa kama serikali hawezi kumponda ccm huyo ni kama mgombanishi tusimkubali!

this guy has drunk beer with women homornes. Ussually he urinates while sitting. Take you pants off!!
 
Mie ni vigumu kumsamehe zitto. Kwa tabia yake hawezi kukaa Chadema wala hawezi kuwa kiongozi mkuu ndani ya chama. Ikitokea tu mie najitoa Chadema na nitabaki huru bila chama.
Siwezi kubari kukaa na watu wanafiki of this type. Si mara yake ya kwanza kufanya ujinga huu. Na ingawa tunamvumilia mwisho wake hautakuwa mzuri. Yeye ni kansa ni vema tuikate mapema. Asije kutudanganya danganya hapa kuwa hakuna mgogoro.
kama yeye hana mgogoro na viongozi wenzake basi ajue ana mgogoro na wanachama na wapenzi wa Chadema. Anatuudhi with his childish behavior.
 
Sisi wote tulijua hakuna mgogoro. Yanayotokea ni mambo ya kawaida isipokuwa yanakuzwa na vyombo vya habari na baadhi ya mawakala wao kwa nia ya kuua upinzani. Najua kauli hiyo ya pamoja imewaudhi sana maadui wa upinzani. Bravo Zitto & Lissu
Jamani hata kama yanakuzwa na vyombo vya habari lakini ukweli unaweza ukatabiri kitakacho tokea kwa kutumia uelewa mdogo tu wa kisiasa,ebu fikiria ndani ya chama linajitokeza kundi linaamua kufanya tofauti na maamuzi ya wengi na anatokea mtu hadharani kutetea msimamo binafsi tofauti nachama. warekebishe tatizo hilo la sivyo leo amefanya huyu kesho atafanya yule mwisho ni kuwa na akademia na origino cdm. binafsi nakipenda chadema kwa sera na mtazamo wa chama ktk kushughuri matatizo ya watz kiasi kwamba hata kama Dr Slaa asipokuwepo nitjua kuwa yeyote ajeye akizisimamia kama zilivyo na kufata mfumo wa chama hakuna litakaroharibika. MUNGU AWAJAZE UTASHI.
 
ushwari huo uliosisitizwa uwe ni ushwari kweli kusiwe na ushwari wenye vinyongo nadani yake.. wapenda chadema tunataka kukuona chama chetu kikiwa imara na kuzidi kuwapeleka puta mafisadi kama tulivyo fanya kwenye uchagzui uliopita.

mouddymtoi
 
Back
Top Bottom