Tundu lisu wewe ni shujaa wangu,nakumbuka walikuzomea sana bungeni,ona leo,watasemaje sasa!!!!

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Hakika mbunge TUNDU LISU NI SHUJAA,HAKIKA CDM HAWAMEZI MANENO KUHUSU MUUNGANO. Wabunge wa Zanzibar CCM NA CUF pamoja na wale wa CCM BARA walikuzomea sana. Najua umekuwa ukirudia serikali tatu, Zanzibar,Tanganyika na kuwepo na masuala ya Muungano 2kubaliane. Leo ajitokeze mtu amzomee Tundu Lisu tena pamoja na CHADEMA.kWA kuchoma makanisa Wazanzibar mjue ni aibu sana ambayo mmeionyesha mbele ya Watanzania wote. Jueni mna ndugu wengi sana huku Tanzania bara,tunaishi nao vizuri sana. Kuna wanafunzi vyuo vingi huku kutoka Zanzibar. Mwaisho kabisa mimi nailaumu serikali kwa hili suala la udini. Mfano mzuri,angalieni MOROGORO ISLAMIC UNIVERSITY, inasikitisha kuona selection za wanafunzi karibu asilimi 90 ni Waislaum,tunaambiwa TCU ndo wanaselect,Why not ST AUGUSTINE,ST JOHN. Jamani udini ni mbaya sana,nawaombeni ndugu zangu mjirekebishe. TUNDU LISSU ANAONGEA UKWELI TUPU MUUNGANO UJADILIWE KWA UWAZI. LISSU ENDELEA WATAKUJA WAJUE KUWA HUWACHUKII WAZANZIBAR BALI WEWE UNASEMA UKWELI WOTE.
 
kinachonishangaza mimi ni ukimya wa Jakaya Kikwete katika swala hili zima. walichokifanya kikosi cha uamsho IS NOT A CRIMINAL ACT and Should have never been treated as a criminal act but a terrorism act , it can be elevated to a war act against certain group of people.

where is the statement from sherrif hamad ?? It is time for him to stand up and make a statement. kwa wale wote waliowahi kufuatilia kauli mbalimbali za hamad hasa kabla ya kuundwa kwa serikali ya mseto alikuwa akitoa statement zinashabiiana sana na yale yanayotolewa na hawa watu wa kikosi cha uamsho na ndio maana tungependa kusikia akimama na kuwakemea.
 
Jk anasema ni upepo tu,. Jaman nikwanini hawataki tujadili mungano kunanini ndan yake
 
Back
Top Bottom