Tundu Lisu pekee na computer magamba kalamu za risasi na karatasi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
pakua+(17).jpg

Tundu lisu pekee na Computer kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya katiba, sheria na utawala ya bunge wakati Magamba bado wanatumia kalamu za risasi zenye mfuto kama za watoto wa chekechea kuandikwa kwenye makaratasi, na waliojitajidi kidogo ni kutumia nibu zile za kuchovya kwenye vidao vya wino wakati Lisu anabonyeza vitufe vya computer. Kazi kweli kweli.
 
Hayo maji wanayanywa kweli?

Watu kama hawa hata kinachoendelea katika ulimwengu wa leo hawajui, bado wanatumia njia za kale ambazo wengi walishaziweka kwenye kumbukumbu ya mambo ya kale. Umeona magamba wanavyoingia kwenye vikao na lunda la mafail badala ya kudunza data kwenye software. Mtu wa aina hiyo atayaelewa mageuzi zaidi ya kukuambia huo ni usaliti kama si zaidi ya kuambiwa ni uhaini?
 
Hicho ndio chama Tawala na wabunge wake wa sasa 2011. Unategemea nini kama bado akili zao ziko miaka ya 1980's ? kweli tutaweza kushindana na wakati huu? hawa tuwaweke pembeni tuu.
 
Pamoja na yote, bado kalamu na karatasi inabaki kuwa namna bora kabisa ya kutunza kumbukumbu, na labda kama TL anauwezo wa kuchapa 100w/s hatahitaji kuwa na kalamu kama hao wabunge wa magamba, na kama hana huo uwezo nina hakika anaitumia hiyo laptop yake kurekodi yanayojiri
 
Ilihitajika hapo? Maana wengine wanaenda na laptop kama fashion hata kama haina kazi hapo!Utakuta watu mnaendelea na kikao,mwingine yuko Jf au Facebook anachat! au anafanya kazi yake nyingine tu. Hata hivo hilo laptop la tundu lisu ni kubwa kidogo mpaka linamzuia wajumbe wengine wasimuone! Kwa nini asinunue kile kidogo kabisa akawa anatembea nacho?
 
Kwa fikra zako Lissu ni mtu wa aina hiyo? labda humjui Tundu Lissu!
 
Ilihitajika hapo? Maana wengine wanaenda na laptop kama fashion hata kama haina kazi hapo!Utakuta watu mnaendelea na kikao,mwingine yuko Jf au Facebook anachat! au anafanya kazi yake nyingine tu. Hata hivo hilo laptop la tundu lisu ni kubwa kidogo mpaka linamzuia wajumbe wengine wasimuone! Kwa nini asinunue kile kidogo kabisa akawa anatembea nacho?
Basi uwezo wake mkubwa sana ikiwa wenzake wapo busy vile alafu yeye anachat Facebook alafu baada ya hapo anawashinda kwa hoja
 
pakua+(17).jpg

Tundu lisu pekee na Computer kwenye kikao cha kamati ya kudumu ya katiba, sheria na utawala ya bunge wakati Magamba bado wanatumia kalamu za risasi zenye mfuto kama za watoto wa chekechea kuandikwa kwenye makaratasi, na waliojitajidi kidogo ni kutumia nibu zile za kuchovya kwenye vidao vya wino wakati Lisu anabonyeza vitufe vya computer. Kazi kweli kweli.
 
Poa kaka nimeona naona net yako kali mpaka kwenye vikao vya kamati unapiga picha
 
Hahahahaaa!!
You made my day....... Typewriter....aka...marimba??
Ukienda kwenye ofisi za ccm utakutana na malimba (type writter) kibao zinatumika. Hayo ndiyo magamba. Yana ruzuku kibao lakini inaishia kuhonga wake za watu tu.
 
Inaonesha ni jinsi gani bado tupo nyuma katika kuendesha mambo yetu kwa teknolojia mpya,napenda viongozi ambao wanajua kuendana na hali halisi ya mabadiliko katika dunia.
Hongera Tindu Lissu ndio maana huwa unawashinda kwa hoja maana wao wakishapewa makaratasi basi uwezo wao huwa unaishia hapo na hawana la zaidi wakati wewe unapata data toka sehemu mbalimbali.
 
Ilihitajika hapo? Maana wengine wanaenda na laptop kama fashion hata kama haina kazi hapo!Utakuta watu mnaendelea na kikao,mwingine yuko Jf au Facebook anachat! au anafanya kazi yake nyingine tu. Hata hivo hilo laptop la tundu lisu ni kubwa kidogo mpaka linamzuia wajumbe wengine wasimuone! Kwa nini asinunue kile kidogo kabisa akawa anatembea nacho?

Aiseee, una akili mingi sana wewe!!
 
Back
Top Bottom