mtoto wa mfugaj
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 136
- 29
baada ya wabunge wa3 wa cdm kutolewa nje baada ya kuongea bila kuruhusiwa nasubiri kwa hamu kuona kama hatua hii itachukuliwa endapo wabunge wa ccm watafanya kosa hilo.ni vyema swala hili la kuzungumza bila ruhusa likomeshwe maana bunge ni chombo muhimu kinachoongozwa na kanuni,tuziheshimu kanuni hizi na tuzitumie kuwasilisha matatizo ya wananchi.inawezekana kuongea na kufikisha hoja na malalamiko bila kuvunja kanuni.wenyeviti wa bunge na maspika wawe fair tutafika tu.pamoja tunajenga taifa.