Tundu Lisu kiboko wa Pindaaa

Zitto amtoa pinda chozi anataka kukimwagia mchnga kitumbua chake atonesha kwenye kidonda cha asubuhi cha tundu lisu jaman heheheh preasure juu
 
Na Rais anakula bata huko aliko...maish yapo hapa hapa on earth...no way we gonna go to the Mars. Kutafuta nini?
 
Kama Waziri Mkuu hana uamuzi hadi pale rais wake atakapoamua, yenye ana kazi gani? Kujibu maswali Bungeni? Mbona hiyo kazi anaweza kufanya hata Joshua Nassari aliyeapishwa juzi?
 
Tanzania iz government of non thats why kwninin tanzania inakuwa masikin na alasilimali zote ilizo nazo="HATA MIM SIJUI" Tanzania inakaribia kuingia gizani una maoni gani?="KWNI MIM MUNGU"watoto wa shure mimba=WANA VIHERHERE @@@@@@@@HAPA HAMANA KITU CHUKUA CHAKO MAPEMA MWAMANCHI
 
Hivi kazi ya Kikwete na Bilali ni nini?

kaka unauliza kazi za baba asha?hizo sikutajii ukumuuliza hata mtoto mdogo anajua aka kula chakura dinner na lunch angani na huyu mwingne kazi yake yeye ni kuzurulz na mkasi mfukoni basi
 
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha

Wana JF,

Wajua nashindwa muelewa Pinda hivi kwa madudu hayo yote yako chini yake hata kama hana uwezo wa kuwafukuza Job ni kuchukuwa jukumu la kiungwana kama anavyosemaga yeye mwenyewe na astep down as Pm yanini mpaka upigiwe vote of no Confidence kweli hata kama hatuna sheria ya Acountability kwa viongozi ni swala liko wazi kibinadamu tuu unastep down wengine wawajibike unless kuna jambo maana kulindana kumezidi sana madudu ni mengi sana hamuoni haibu kweli?

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom