Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

Kwanza nashangaa hadi muda huu uchambuzi wa majaji vihiyo katika ushahidi wake aliotoa kamati ya maadili ya Bunge haupo hapa hadi muda huu. Ushahidi mzima unapatikana gazeti la leo la jamhuri ngoja niangalie uwezekano wa ku scan. Ukilisoma lote utakubaliana na mimi Tundu Lissu ni kati ya Watanzania wachache sana (rare breed) wanaothubutu kusema yale ambayo wengine hawathubutu. Hongera sana Lissu, mwanamapinduzi

Lete link yao kwenye website, usifanye mambo kizamani bana!!
 
we scan hiyo issue tutumie tusome wengine hela hata ya kununua gazeti ni issue kaka
 
kama umeshindwa kuscan si ungesoma halafu ukatoa summary kuliko kupost blanket ambayo haina kichwa wala miguu, kama huna details basi kaa kimya ukishapata ndio uweke!
 
Hivi hakuna njia ya kuawafahamu majina ya halafu tukaanzisha kampeini ya kuwakataa majaji hao kusikiliza mashauri yetu kwasababu hawakufanyiwa vertting. Ni HAKI ya mtuhumiwa au mtuhumu kumkataa jaji.
 
Ngoja nisubiri. Hii itakuwa ni base nzuri ya kuconfirm maneno ya Kaka Mbowe pale serena Hotel kwamba wao wanaakili nyingi zaidi ya Magamba.
 
Ni ngumu ku scan najitahidi ila balile ambaye ndio mwandishi anasema gazeti limehujumiwa kwa kununuliwa lote

Wanabidii ›
Gazeti la Jamhuri toleo la leo lahujumiwa kwa kununuliwa lote nchini(Republic newspaper edition today lahujumiwa purchased for the entire country)

46 posts by 35 authors in Wanabidii
Categories:
clear.cache.gif
Previous page Previous page | 1 to 26 of 46
| Next pageNext page

clear.cache.gif

Deodatus Balile
clear.cache.gif
Sign in to reply
clear.cache.gif

Apr 17

Other recipients:

Translate message to English Translated by Google - Swahili ≫ English - View Original

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchi.Leo Gazeti la Jamhuri limehujumiwa kwa kununuliwa lote nchi nzima na mtu ambaye habari tulizoandika hakuzipenda.Sitanii, tutafika?Balile, D.Mhariri Mtendaji,Jamhuri Media Ltd

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchi.
Leo Gazeti la Jamhuri limehujumiwa kwa kununuliwa lote nchi nzima na mtu ambaye habari tulizoandika hakuzipenda.
Sitanii, tutafika? Balile, D.
Mhariri Mtendaji,
Jamhuri Media Ltd

Freedom of press is at stake country.
Today the Gazette of the Republic limehujumiwa purchased for the entire country and the person about whom we wrote did not love.
Sitanii, we arrived? Balile, D.
Managing Editor,
Republic Media Ltd

kweli nimelisoma kawachambua wote kabisa, kuna jaji wa mahakama ya rufaa ambaye hana digrii amesomea sanaa, kuna walioteuliwa huko mtaani, kuna wengine wamemaliza wanapewa mikataba bila kiapo kwa hiyo hata hukumu walizoandika hazina mashiko kisheria.

kuna jaji aliyekalia hukumu kwa miaka 4, na wengine tangu wachakuliwe hawajagusa mahakamani
 
Mkuu gazeti la lini? Meza zote posta na mwenge hakuna hilo gazeti
 
kamuulize ex-cj samatta kilichompata kwa kuajiri tumaini graduate wengi kwa kigezo cha gpa kati ya 2000-2006, ndio utaiona hoja yangu imelala wapi.....weredi wa taaluma kama sheria unapaswa uangaliwe kwa angle nyingi zaidi.....tunashukuru mahakama na hata pale kwa ag waliligundua hilo ingawa kwa kuchelewa na ndio maana intake ya 2005-06 mahakama walienda beyond gpa na kujikuta wamepata watu sahihi kwa kazi zao. Bado udsm wako vizuri zaidi ya vyuo vyote tanzania ktk sheria hilo halihitaji zama za mwalimu wala kikwete. All in all ninasali kada hii ya kulinda na kuhifadhi haki na sheria za umma itawaliwe na watu makini, wenye weledi,wanopenda kujifunza na waogopa mungu japo kwa asilimia fulani; si dhambi muhimili ukaendesha kampeni ya kuwachunguza wanafunzi wa kada hii vyuoni sasa, mafunzoni na kujua nani ni nani kabla ya kuajiri tu kwa sababu soko ni huru!!!hapo nchi itakuwa salama maana taifa lisilo na haki ni mfu.

Excellent!!!! Hao wa Tumaini hata umwambie ajibu any presentation utalia machozi.
 
Tunaomba Mheshimiwa Mhariri Balile tuchapie tena hiyo habari kesho na ambia wakala wawahimize wauzaji wasikubali kuuza zaidi ya nakala moja. Hawana adabu.
 
TZ: Someni gazeti la Jamhuri, Toleo la Jumanne Agosti 14-20, Toleo Namba 39, Utaona Umakini wa TUNDU LISSU. MAKINDA NA JOB NDUGAI AIBU YENU MAANA MNADHANI WABUNGE WA UPINZANI WANALALA OVYO NA KULEWA DODOMA, WANASOMA, WANAFANYA UTAFITI, WAPO VERY BUSY KWA MASLAHI YA NCHI. NAMPONGEZA SANA TUNDU LISSU- USHAHIDI WAKE NAJUA AIBU YA SPIKA, NAIBU, ANAYEJIITA AG (JANGA LA TAIFA), MZEE WA MIONGOZO (LUKUVI) NA WABUNGE MAGAMBA KWA VIHELEHELE VYA KUSUPPORT UJINGA NA UPUMBAVU
 
huyo ndungai na mwanasheria mkuu na wengine wote waliomponda tundu,kweli wanatumia nywele zao kuwaza,espacially mwanasheria mkuu,yeye si anajua huu uozo uliooneshwa na tundu,ninawasiwasi na usomi wake huyo kilaza.au alijua tundu hatopata information????
Aibu kwa taifa.hata rusiojua sheria inabidi tuanze kufatilia.

very interesting
 
Invisible wa JF hawezi kukosa ushahidi uliotolewa na Lissu. Siamini kuwa naye anaweza kununuliwa kama hayo magazeti ya Balile waliyomaua yasifike kwa wasomaji. Atuwekee hapa tufaidi.
 
binafsi navutiwa na hoja tetezi za ndg. Lissu ktk kutetea muhimili wa sheria nchini na uhuru wake; kuhusu uteuzi wa rais kwa majaji hapo sina la kuchangia kwani ni process ndefu mpaka rais anapotangaza mtu kuwa mteule wake wa ujaji.....

Mchango wangu ni kwa cj na timu yake ya muhimili wa mahakama; imebainika wengi wa graduates wa tumaini ndio wanaopewa mamlaka za uongozi ktk muhimili wake lakini 80% yao licha ya kuwa na gpa nzuri hawako vizuri ki uweredi mahakamani na kutafsiri sheria na maamuzi yao, siwapigii debe udsm bali bado kuna gape kubwa ya kitaaluma na maadili ktk ya wahitimu wa tumaini ktk sheria na wa udsm....

Mahakama iangalie ajira za intake 2000-2006 kutoka vyuo hivyo, dosari hii ni kubwa na ya wazi, huenda udsm kwa kuwapatia gpa za kawaida wahitimu wake wametoa fursa kwa vyuo vingine kuzalisha kada hiyo isiyo kidhi haja lakini mwisho wa siku anayeumia ni mtanzania kutokana na maamuzi yasiyozingatia weredi wa kisheria wa mtoa haki.

Mahakama ijitathmini yenyewe kabla ya lissu hajawasemea bungeni, kuna dosari ambazo hata rais anakuwa na wakati mgumu ktk uteuzi na kujikuta anateua watu wengi nje ya mahakama. Nafasi wanayo bado, tuwape muda na ndio wanajipanga sasa kama independent muhimili kuanzia sasa.

Mengi yatapungua sana na nina imani wenye uwezo kimaamuzi mahakamani ndio wafikiriwe ktk nyadhifa ili kuipa sura chanya mahakama na siyo ukabila, udini, mahusiano hasi na kadhalika, si rahisi kuyathibitisha haya ila yapo ndani muhimili huo lakini taifa linakua na mahakama nayo inakua
naunga mkono hoja kwa asilimia 100
 
Invisible wa JF hawezi kukosa ushahidi uliotolewa na Lissu. Siamini kuwa naye anaweza kununuliwa kama hayo magazeti ya Balile waliyomaua yasifike kwa wasomaji. Atuwekee hapa tufaidi.

Jamani JF hakuna aliyeweza kupata nakala ya hilo gazeti ali-post tuweze kusoma? Ivi kweli yanaweza kununuliwa yote asiwepo mtu hata mmoja JF ambaye amepata kopi? Invisible vipi tena jikoni huko?
 
Ni ngumu ku scan najitahidi ila balile ambaye ndio mwandishi anasema gazeti limehujumiwa kwa kununuliwa lote

Wanabidii ›
Gazeti la Jamhuri toleo la leo lahujumiwa kwa kununuliwa lote nchini(Republic newspaper edition today lahujumiwa purchased for the entire country)

46 posts by 35 authors in Wanabidii
Categories:
clear.cache.gif

Previous page Previous page | 1 to 26 of 46
| Next pageNext page

clear.cache.gif

Deodatus Balile
clear.cache.gif
Sign in to reply
clear.cache.gif

Apr 17

Other recipients:

Translate message to English Translated by Google - Swahili ≫ English - View Original

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchi.Leo Gazeti la Jamhuri limehujumiwa kwa kununuliwa lote nchi nzima na mtu ambaye habari tulizoandika hakuzipenda.Sitanii, tutafika?Balile, D.Mhariri Mtendaji,Jamhuri Media Ltd

Uhuru wa vyombo vya habari uko hatarini nchi.
Leo Gazeti la Jamhuri limehujumiwa kwa kununuliwa lote nchi nzima na mtu ambaye habari tulizoandika hakuzipenda.
Sitanii, tutafika? Balile, D.
Mhariri Mtendaji,
Jamhuri Media Ltd

Freedom of press is at stake country.
Today the Gazette of the Republic limehujumiwa purchased for the entire country and the person about whom we wrote did not love.
Sitanii, we arrived? Balile, D.
Managing Editor,
Republic Media Ltd

kama hujui unachopaswa kufanya acha , huku ndio ku scan kweli??
 
Back
Top Bottom