Tundu Lissu yu wapi?

Acheni utoto Jf kuna mambo mengi sana ya kujadili MFANO MVUA INAMALIZA WATU GONGOLAMBOTO MAHEMA YAMEANGUKA MVUA KUBWA SANA
 
Tundu Lisu hakubaliani na siasa za maandamano, kama vile asivyokubali Zitto na viongozi wengine wengi tu wa Chadema.

we acha umbumbumbu km kitu hujui kaa kimya zitto anauguliwa na mzazi na yupo criaz hadi wanafikilia kumpeleka india, we unaonyesha waweza muacha mama ako mzazi ukaenda kwenye ccm.
 
Kuna mtu ana signature inasomeka hivi!
JF:kipimo cha uvumilivu,nimeipenda sana!

Yaaani mnaulizwa swali mnajibu matusi kweli?
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. We na lema, mbowe na slaa na kchwa?
 
Ingependeza sana kama maneno haya ungemwambia mkwere kwamba hana haja ya kukimbia nchi kila siku kwa sababu CHADEMA haina sapoti ya umma. badala ya kwenda kutafuta hifadhi ya kukimbilia umma utakapoamuwa aje alikubali tatizo, kwani kulijuwa tatizo na kulikubali ni nusu ya solution, Watanzania wako tayari Rais awe hata Yusuf Makamba, lakini awatekelezee mahitaji yao ya msingi. na ukitaka kujuwa ukweli wa hili, kama wewe sio kula kulala na una mke, hebu acha kumpa mahitaji yake ya msingi yeye na watoto uone kama kama hiyo nyumba itakuwa na furaha na amani.

Hii obsession ya kumtukana Rais katika kila thread ndiyo inayowafanya nyie wenyewe mnaochangia kuishia kutukanana na hata kuharibu hadhi ya JF. Mtoa mada wa awali aliuliza kwa nini Tundu Lissu yuko kimya muda mrefu then nyie mnamrukia JK kwa lipi? Ifike mahali watu waipe heshima JF kama jukwaa la watu kujadili hoja objectively na kuzitolea hitimisho litakaloonyesha kwamba wacahngiaji wake wana akili timamu na pengine ni watu wenye familia zinazowaheshimu.

Hii hali ya kumimina matusi ama kwa watawala au kwa wachangiaji wenye mtizamo tofauti ni dalili tosha kwamba kuna watu humu hawastahili kutoa michango yao na si vibaya wakakaa kimya kuliko kugeuza hapa kuwa kituo cha kupambanisha uendawazimu. Leo hii Mwanakijiji anasifiwa kwa umahiri wa hoja zake siyo kwa jinsi anavyogundua matusi mapya kila siku. Tuache hali hii otherwise no body will take us seriously any more na hata sisi chipukizi tutajutia kujiunga.
 
Tundu Lisu hakubaliani na siasa za maandamano, kama vile asivyokubali Zitto na viongozi wengine wengi tu wa Chadema.

thread yako imekaa kinafiki sana, umeingiaje umu ndani??? fikiria kabla ujaropoka
 
Gossips ndani ya JF, jamani andikeni vitu vyenye logic, this is the home of great thinkers remember!
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.

Wewe ni zumbukuku ulimwengu uko huku kaa kimya kama hujui sio kuongea tu ilimradi kuleta zogo hapa sio mahali pa soga.
 
I'm very optimistic with Tundu Lissu.He must have other crucial issue to deal with.He is an activist with no fear,he can't be hypocrite like Shibuda.
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.
inaelekea una CV syndrome una amini ktk cv za kutoka ssehem moja hadi nyingine. walowahi kufanya fanya kazi toka ktk ofisi ya fisadi mmoja hadi ya mwingine unawaona wana maana sana! siku hizi mwamuulizia Lisu wakai ana kesi za kusimamia kwa manufaa ya chama, yaani mwaka huu kila mwanaccm ataropoka lake lakini CHADEMA haitawasamehe maana kimeamua kujitoa katika ordhaya ya vyama vya musimu walvyozoea kuvibeza, sasa ni chama cha muda wote hadi 2015 kitakapoeleweka. Mtakoma tu.
 
Niliona jana kwenye gazeti la mwananchi akitoka mahakamani kwenye kesi ,inawezekana hayo majukumu mengine ndiyo yalimbana.
 
Tundu Lisu hakubaliani na siasa za maandamano, kama vile asivyokubali Zitto na viongozi wengine wengi tu wa Chadema.
Utakuwa umekula kiporo cha ugali asubuhi. Ila asante kwa kutupa pumba sababu inavyoonesha uwezo wako wa kufikiri.
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.

Uchambuzi na ushauri wa kipumbavu nje ya mada
 
Back
Top Bottom