Tundu Lissu yu wapi?

Tundu Lisu hakubaliani na siasa za maandamano, kama vile asivyokubali Zitto na viongozi wengine wengi tu wa Chadema.
 
Cdm wako very planned. Huwezi kukuta mawakili wanajihusisha moja kwa moja ili ccm wakileta udikteta,mawakili ndo wanazama mahakamani kuitetea cdm,sipati picha kama na wao wanashitakiwa nani ataitetea cdm? Kaa ujue,cdm wamejipanda,safari hii ccm watakoma.
 
Chadema ina kazi nyingi za kufanya na kila mmoja ana majukumu yake kulingana na wakati,hivyo yeye kutoonekana katika mikutano sio tatizo bali tunatambua kuwa ana majukumu mengine ya kufanya.
 
Cdm wako very planned. Huwezi kukuta mawakili wanajihusisha moja kwa moja ili ccm wakileta udikteta,mawakili ndo wanazama mahakamani kuitetea cdm,sipati picha kama na wao wanashitakiwa nani ataitetea cdm? Kaa ujue,cdm wamejipanda,safari hii ccm watakoma.

Hivi nakuuliza haswa! Katika madikteta unavyowajuwa wewe na Kikwete yumo?
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.
 
Hili swali ulitakiwa umuulize dada yako. Eti Tundu Lissu kamficha wapi?
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.

Kwa hiyo ulitegemea kuona kwenye maandamano yote ya CDM wabunge wote wa chama hicho wawepo? Kweli baadhi ya akili zimeziba mpaka zinataka zizibe akili zingine makini
 
Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.

Ingependeza sana kama maneno haya ungemwambia mkwere kwamba hana haja ya kukimbia nchi kila siku kwa sababu CHADEMA haina sapoti ya umma. badala ya kwenda kutafuta hifadhi ya kukimbilia umma utakapoamuwa aje alikubali tatizo, kwani kulijuwa tatizo na kulikubali ni nusu ya solution, Watanzania wako tayari Rais awe hata Yusuf Makamba, lakini awatekelezee mahitaji yao ya msingi. na ukitaka kujuwa ukweli wa hili, kama wewe sio kula kulala na una mke, hebu acha kumpa mahitaji yake ya msingi yeye na watoto uone kama kama hiyo nyumba itakuwa na furaha na amani.
 
Back
Top Bottom