Tundu Lissu: Wenje asiposhinda kesi ya matokeo, najiuzulu ubunge

Lisu akujiuzulu weye utafaidi nini?? Au ndo mshaamua mshindi ni huyo wa ccm? Andika kichwa cha habari chenye mantiki. Nilikimbilia nkidhani kuwa Lisu kashikwa kichaa kumbe ni mwandishi kichaa!
Huyo mabula ajiandae kuutema huo uwaziri maana ubunge ndio huo unamtoka kiulainiiiiii
 
Mpaka sasa sijaona mbunge yeyote aliekata rufaa akashanda si wa ccm si wa ukawa kwahiyo hata hao wanaliwazana tu ili kuonyesha walijaribu kutetea wanachoamini ni haki yao.Me simuoni wenje wala kafulila kurudi kokote labda 2020.Siasa za bongo za maigizo igizo na misimamo fake baadae wanakana matamko yao.
 
Mpaka sasa sijaona mbunge yeyote aliekata rufaa akashanda si wa ccm si wa ukawa kwahiyo hata hao wanaliwazana tu ili kuonyesha walijaribu kutetea wanachoamini ni haki yao.Me simuoni wenje wala kafulila kurudi kokote labda 2020.Siasa za bongo za maigizo igizo na misimamo fake baadae wanakana matamko yao.
Hutaki au?kama hutaki kanywe malimao
 
Mmh aisee tumepunguza upinzan maana maakama za ccm wenje hawez kushinda aisee
 
Wenje ndio mshindi ukweli unachelewa tu sio wenje tu wabunge wengi wa ukawa kama kafulila na wengine hata Zanzibar maalim seif ndio mshindi ccm ni mabingwa wa hujuma
 
Hivi anayethibitisha kwamba huyu ndiye mshindi ni tume ya Uchaguzi au mgombea mwenyewe? Nauliza hivi kwa sababu sioni uhalali wa mahakama kumtaka Mabula athibishe ushindi wake wakati wenye mamlaka kisheria ni tume.
 
Mkuu huyu Stanslaus Mabula sio Waziri ni Anjelina Mabula wa Ilemela ndio Naibu waziri Ardhi. Stanslaus ndiye yule majuzi alichangia bungeni na kusema Wenje ni mkimbizi. Ngoja sasa amkimbize
Huyo dawa yake ni kumnawisha mkuu
 
Huyo mabula tayari keshashindwa yaani ushahidi ni kubeba mabox ya kura?huo ni ukichaa kabisa,yaani ni sawa na dokta akwambie anataka apime choo yako wewe unaenda unabomoa choo unapeleka hospital
Nimecheka sana! Umenikumbusha nilikuwa na mtumishi wangu mmoja Muha basi aliugua na hospitali akaambiwa kalete choo. Alichofanya ni kuchukua hotpot moja ndani akajaza choo na kupeleka maabara.
Yaliyotokea baada ya hapo nayahifadhi ili kumtunzia heshima.
cc MOTOCHINI hii sio insult bali ni bahati mbaya huyo mtumishi alikuwa kabila moja nawe.
 
Back
Top Bottom