Tundu Lissu: Waliofaulu kidato cha nne 2011 ni asilimia 9.98

"Maana halisi ya mtu aliyefaulu ni yule aliyepata daraja la kwanza mpaka la tatu, chini ya hapo amefeli. Kwa maana hii basi waliofaulu katika mtihani
wa kidato cha nne mwaka 2011 ni asilimia 9.98 pekee.

Wanafunzi 10 kati ya 100! Hao ndio waliofaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza mpaka la tatu. Vijana wetu hawajifunzi tena. Hawa asilimia 90 wanaelekea wapi?"

Nawasilisha

Ukweli ni kuwa kati ya hao9.98% nusu wameibia mitihani. Hivyo uktafuta hasa waliofaulu kwa maana ya neno ni 3-4%.
 
Kaishiwa hoja huyo!siyo kila four ni zero,manake kuna div four nyingi ambazo zinaweza kwenda A-level.Kwa mfano mtu mwenye C-3 na D-6 nae hyu utasema amefeli.
Acheni kusifia kila ***** anaongea Lissu.

Form V za shule jumuiya za CCM ,?
 
Unaenda shule ya sekondari, unakutana na walimu wawili tu, na hao hawafundishi, wakijitahidi sana wanawapa wanafunzi nakilishi (notes), hakuna mihutasali, kama ipo walimu hao hawajawahi kuitumia. Shule ina vitabu vingi sana vya sayansi yaani physics, bilogy, chimistry na hesabu, lakini walimu wa masomo hayo hawapo. Tangu shule ifunguliwe wanafunzi hao hawajawahi kuona kifaa chochote cha maabala wala maabala yenyewe. Mwishowe wanafika kidato cha nne na kuambiwa wafanye mtihani wa taifa wa baraza la mtihani. Hawana cha kuandika, wanaamua kuandika matusi ya nguoni kwani ndio waliojifunza wakiwa bila walimu. Katibu mtendaji anawafutia matokeo na kutafuta namna ya kuwafikisha mahakamani. Wewe unakuja hapa na kuwalaumu vijana wale ati wanapenda starehe na hawataki kusoma, ati wanaamini maisha ni rahisi........lo huna huruma wewe...........hujaenda ukawaona watoto wale..........unadhani Tanzania ni D'salaam tu.

sasa mkuu kutokufundishwa kunahalalisha kuandika matusi. nadhani walikosa nidhamu. By the way unaongelea huruma; unadhani dunia ya leo ina huruma? Kama hata hawa watoto wana dhana ya huruma ni kosa. The world is so wild wanatakiwa kujua hilo na wajipiganie. Mkuu ulimwengu wa leoo nii wa kujitafuta. Usitegemee kuonewa huruma
 
Huo ndio ukweli serikali wasitudanganye wakati hao waliopata div. Four wanabaki mitaani bila post, na hata div. Three ambao combination imekataa nao wako hatarini kukosa post.
Suala la msingi hapa ni kwamba nini kifanyike wanaf. Wafaulu kwa kiwango cha div. I-III.
 
Jamani pamoja na kwamba kuna matatizo ya kisekta watoto wetu hawasomi. Wameaminishwa/ kujiaminisha kuwa maisha ni rahisi sana. Vijana wanatumia muda wa kusoma vibaya sana. Cha kusikitisha wanapenda sana anasa za muda mfupi. Wamekuwa hedonists (Piga starehe kesho itajipa yenyewe). Hawatafaulu kwa staili hii na wanapaswa walaumiwe. Kwanza wafundishwe kuwa maisha ni magumu then wakitambua hilo watasoma.

mkuu hiyo unayoongelea kuwa vijana tunasoma vibaya ni asilimia ndogo sana , nilipokuwa naingia form one nilibahatika soma shule mbili tofauti moja ya serikali na nyingine binafsi. nilianza na ya serikali forodhani siku naingia tu matumaini ya kufaulu hayakuwapo ukichelewa darasani unasimama, nilikaa kwa wiki tatu mwalimu aliyeingia hazidi mmoja , viti hakuna , kwanza sikumbuki hata kama niliona library katika shule hiyo na hata kama ilikuwapo sidhani ilikuwa poa kwa kusomea. darasani tulikuwa zaidi ya watu 70 na zaidi na ratiba ya shule ilikuwa haifuatwi. baada ya wiki hizo tatu nikahamia loyola siku naingia nilijua nitafaulu tena kwa div 1 na ndivyo nilivyopata. darasani watu walikuwa hawazidi 40. ratiba inafuatwa , walimu wanaingia hawakosi vipindi na wakikosa yani hiyo ni case unaripoti na mwalimu itabidi ajieleze, kila jumatatu ni mitihani , library inavitabu vyote ,mazingira safi. mkuu ni mazingira ya mahali ndio yanachangia kufeli au kufaulu kwa kiasi kikubwa. kama unataka pitia shule kama feza, loyola, shaban robert linganisha na azania , tambaza au shule yeyote ya serikali uone mazingira yao yanavyochangia watu kufaulu na kufeli. cha msingi ni kuweka mazingira mazuri ya kusoma na wanafunzi watasoma tu.
 
Jamani pamoja na kwamba kuna matatizo ya kisekta watoto wetu hawasomi. Wameaminishwa/ kujiaminisha kuwa maisha ni rahisi sana. Vijana wanatumia muda wa kusoma vibaya sana. Cha kusikitisha wanapenda sana anasa za muda mfupi. Wamekuwa hedonists (Piga starehe kesho itajipa yenyewe). Hawatafaulu kwa staili hii na wanapaswa walaumiwe. Kwanza wafundishwe kuwa maisha ni magumu then wakitambua hilo watasoma.

mkuu hiyo unayoongelea kuwa vijana tunasoma vibaya ni asilimia ndogo sana , nilipokuwa naingia form one nilibahatika soma shule mbili tofauti moja ya serikali na nyingine binafsi. nilianza na ya serikali forodhani siku naingia tu matumaini ya kufaulu hayakuwapo ukichelewa darasani unasimama, nilikaa kwa wiki tatu mwalimu aliyeingia hazidi mmoja , viti hakuna , kwanza sikumbuki hata kama niliona library katika shule hiyo na hata kama ilikuwapo sidhani ilikuwa poa kwa kusomea. darasani tulikuwa zaidi ya watu 70 na zaidi na ratiba ya shule ilikuwa haifuatwi. baada ya wiki hizo tatu nikahamia loyola siku naingia nilijua nitafaulu tena kwa div 1 na ndivyo nilivyopata. darasani watu walikuwa hawazidi 40. ratiba inafuatwa , walimu wanaingia hawakosi vipindi na wakikosa yani hiyo ni case unaripoti na mwalimu itabidi ajieleze, kila jumatatu ni mitihani , library inavitabu vyote ,mazingira safi. mkuu ni mazingira ya mahali ndio yanachangia kufeli au kufaulu kwa kiasi kikubwa. kama unataka pitia shule kama feza, loyola, shaban robert linganisha na azania , tambaza au shule yeyote ya serikali uone mazingira yao yanavyochangia watu kufaulu na kufeli. cha msingi ni kuweka mazingira mazuri ya kusoma na wanafunzi watasoma tu.
 
Kaishiwa hoja huyo!siyo kila four ni zero,manake kuna div four nyingi ambazo zinaweza kwenda A-level.Kwa mfano mtu mwenye C-3 na D-6 nae hyu utasema amefeli.
Acheni kusifia kila ***** anaongea Lissu.

Ni kweli anasifa ya kwenda A-level lakini si katika shule za serikali! Hii ni mtizamo wangu. Hivyo kiuhalisia ni asilimia 9.98 ndiyo waliofauli na kama taratibu hazitapindishwa ni ukweli kwamba ni asimia 9.98 ndiyo wanaotegemewa kwenda A-level. Tuache ushabiki palipo na ukweli tuuseme: Wanafunzi wamefanya vibaya kwa matokeo yaliyopo.
 
Back
Top Bottom